KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Usikute hapo kalala na mkewe, na wala haishangazi sababu kuna ambaye keshakutwa akiwangilia mbuzi. Kuna Binadamu wana fantacy za ajabu ajabu mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute hapo kalala na mkewe, na wala haishangazi sababu kuna ambaye keshakutwa akiwangilia mbuzi. Kuna Binadamu wana fantacy za ajabu ajabu mno.
Ashawahi kukushenyenta nini mkuu kwa sababu haiwezekani ukakichukiq kitu kiasi hiko 🤣🤣🤣Sipendi nyoka kisenge
Mbuzi ana sura ya mtu kabisaaa 😂 😂 😂 😂 😂
Huko mbele hao ni pets tu kama mbwa au paka.Mjamaa umezingua, ushaharibu siku yangu daah!! Mm hao wadudu nikiwaona hata Jani likinigusa nashtuka 😢
Ndio yani huyo nyoka hapo kaona kuna utajiri kaamua kutulia anapata kila kitu, huko mtaani maisha magumu unaambiwa hapo huyo chatu jamaa anaweza hata kumuagiza maji ama rimoti na akafata si pesa ipo!..😅Kumbe sio wa utajiri ni nyoka wa kuchezea
We jamaa una_masihara sana😃Ndio yani huyo nyoka hapo kaona kuna utajiri kaamua kutulia anapata kila kitu, huko mtaani maisha magumu unaambiwa hapo huyo chatu jamaa anaweza hata kumuagiza maji ama rimoti na akafata si pesa ipo!..😅
kweli mkuu wanakuambia pesa sabuni ya roho!, huyo chatu kwajinsi alivyo na adabu na boss wake hawezi kujisaidia hapo kitandani anaenda eneo lake anajisaidia nakujusafisha halafu anarudi kitandani kama hataki akalale machakani!, sasa akifikiria maisha ya machakani anaona isiwe tabu acha nitulize umbo langu hapa...🤣We jamaa una_masihara sana😃
hahaha 🤝kweli mkuu wanakuambia pesa sabuni ya roho!, huyo chatu kwajinsi alivyo na adabu na boss wake hawezi kujisaidia hapo kitandani anaenda eneo lake anajisaidia nakujusafisha halafu anarudi kitandani kama hataki akalale machakani!, sasa akifikiria maisha ya machakani anaona isiwe tabu acha nitulize umbo langu hapa...🤣
Basi baki na Umasikiniya moto sana
Andika vizuri, tayali ni kitu gani?Mtu yuko tayali awe na kidonda kisicho PONA lakin awe na hela
hatari sana