Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Musiba ni mpumbavu mmoja ambaye ni mouthpiece ya number oneWaweke ulinzi Cyprian Musiba na magaidi wenzake wasijetega mabomu maana akili ya ni kumwaga damu tu kama alivyokuwa anatamba.
Kwani wanaccm huwa mnatakiwa madeni ya Chadema ?Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Chama zilipendwa kinajifarijiHatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198
Kwani chaguzi zilizopita ilikuaje?Kwa Mara ya kwanza CDM wanafanya hivi katika chaguzi za Urais... Tuone matokeo yatakavyo kuja na Kama watabaki wamoja.
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198
Swala la ukumbi ni moja do go tunasubil mrejesho wa wanachoenda kukifanya
All the best Nyarandu I hope
Waweke ulinzi Cyprian Musiba na magaidi wenzake wasijetega mabomu maana akili ya ni kumwaga damu tu kama alivyokuwa anatamba.
Kwa Mara ya kwanza CDM wanafanya hivi katika chaguzi za Urais... Tuone matokeo yatakavyo kuja na Kama watabaki wamoja.
Wee liccm tuache na mambo yetu.
Nyalandu atapita kwa 100%
Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Kwani ni Kosa kukopa?
Jamaa dume zima lkn mambo yake kama dada yakeHamtaki wewe nani? Huko CCM hawakutaki kwa udokozi uliofanya Chadema,wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu, achana kabisa na Chadema.
All the best...I go with TAL
Kesho zitawaka Ngumi hapo
Ukiiona full kuchetuka na kutamani Makamanda waje kukuchapa naoRangi nyekundu kwenye bendera ya Chadema uwa inafikirisha sana.