Uchaguzi 2020 Picha: Ukumbi wa Mlimani City ukiwa tayari kwa Vikao vya Maamuzi CHADEMA kuanzia kesho, taratibu za kujilinda na COVID-19 zimezingatiwa

Uchaguzi 2020 Picha: Ukumbi wa Mlimani City ukiwa tayari kwa Vikao vya Maamuzi CHADEMA kuanzia kesho, taratibu za kujilinda na COVID-19 zimezingatiwa

Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198
Chama zilipendwa kinajifariji
 
Hiyo ndiyo cdm ninayo ijua mimi chama dume kinacho wafanya mataga kukosa usingizi.
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona. Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198
 
Kusubiri kinachoenda kufanyika ni sawa na kujiuliza swali alafu ukalijibu wewe mwenyewe. Inajulikana kuwa mh Lissu ndiye chaguo letu.
Swala la ukumbi ni moja do go tunasubil mrejesho wa wanachoenda kukifanya
 
Cdm haikuazishwa jana, imepitia mikutuo kibao na hasa mikutuo ya kuanzia mwaka 2015 hadi sasa.

Kingekuwa chama cha kuokoteza kingesha jiunga na kina TLP, NCCR, CUF, NLD,
Kwa Mara ya kwanza CDM wanafanya hivi katika chaguzi za Urais... Tuone matokeo yatakavyo kuja na Kama watabaki wamoja.
 
Hamtaki wewe nani? Huko CCM hawakutaki kwa udokozi uliofanya Chadema,wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu, achana kabisa na Chadema.
Jamaa dume zima lkn mambo yake kama dada yake
 
Back
Top Bottom