Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Mbowe amekijenga chama kitu ambacho ni kikubwa kuliko ukumbi.Mbowe kashindwa kabisa kujenga ukumbi wa chama au anakuaga na 10% kwenye huu ukodishaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe amekijenga chama kitu ambacho ni kikubwa kuliko ukumbi.Mbowe kashindwa kabisa kujenga ukumbi wa chama au anakuaga na 10% kwenye huu ukodishaji?
Ni nini inakuwashaaaa?( in Kenyan voice)Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Ngumi za nini,hawa wajumbe si kama wale wenuKesho zitawaka Ngumi hapo
Unaweza kutembea kwa miguu, Kuna bajaji na boda boda za kumwagaAsante Sky Eclat Je hizo hoteli/gesti za sinza unaweza kwenda mpaka mlimani kwa mguu au itahitaji bodaboda maana mie kutembea mwendo mrefu siwezi. nitashukuru ukanipa jina la hoteli iliyo karibu sana na mlimani city.
Bulaya amesema anaependwa na wengi ndiye atakae pita.
Ben this is pathetic n too low ....Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Usiwe na shaka hawa jamaa sio kama sie.Waweke ulinzi Cyprian Musiba na magaidi wenzake wasijetega mabomu maana akili ya ni kumwaga damu tu kama alivyokuwa anatamba.
Hamtaki wewe nani? Huko CCM hawakutaki kwa udokozi uliofanya Chadema,wewe jikite tu kwenye biashara yako ya mama lishe na bar bubu, achana kabisa na Chadema.
Kama vyama vya siri, wewe ulivijuaje ?Zamani haikuwepo,hii ni baada ya kujiunga na vyama vya siri
Lisu tunamkalisha kama Tulivyomkalisha Dr SlaaNatumai kuona lisu anaibuka kidedea vinginevo moto utawaka
Wew inakuhusu nn??Wamekopa au wamelipa cash ukumbi? Hatutaki madeni baada ya Uchaguzi
Usiwe na hofu Kamanda, game lilishaisha kitambo na kinachoenda kufanyika ni kuwekwa record sawa.Wakuu sijui kwanini moyo wangu unakuwa mzito hivi, nina wasiwasi hawa wajumbe hasa mikoani wanaweza kupindua meza wakampa Nyalandu.
Aisee ikifika stage hiyo ni heri udikteta utumike wakuu apite Lissu kipenzi cha watanzania.
Nyalandu atapita kwa 100%
MLIO MLIMANI CITY TUNAOMBA UP TO DATE ZA JTATUHatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona.
Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya Uchaguzi wa viongozi ndani ya chama.
View attachment 1525198