Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

ndio dunia

huwezi kuchukiwa na wote

huwezi kupendwa na wote

Hitler alipendwa pia, Idd Amini alipendwa pia

Yesu na Muhammad walichukiwa


Inatia aibu pale mtu anapotaka kulazimisha hisia zake ziwe zako!!! na wale wafuata mkumbo wa hisia ndio tunawaita jina la yule mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…