Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Wstanzania wanafki sana hao wote hapo ni mambugila tu

Ova
 
Namkubali pia, ni kiongozi anae jiamini. Nchi hz zetu zinahtaj viongoz wa namna hyo wenye kutoa maamuz co ushauri, wenye kuchukua hatua co kulalamika. Demokrasia wkt mwingine ni changamoto kwa nchi maskin. Nchi zlizoendelea zna sheria kali na pia wanajitahd kufuata demokrasia lkn nchi zetu watumish mishahara ni midogo so wanahongwa na sheria znapndshwa na wanakmbilia mahakaman kwa mwavuli wa demokrasia. Pia wabongo tunapenda habar za udaku, mtu kasoma habar sehem bac anayo tu. Ni vzr kuzngatia source ya hyo taarfa kabla hujashupalia. Mf mtu na heshma zake anadai et vyet feki, me nlimuuliza umewah kuviona? akasema et watu wanasema, ?!? huo ni upuuzi. mwingine akadai et aonyeshe vyet nkamuuliza unataka akuonyeshe ww kwan ww ndo umemuajr? akasema aweke kwenye net, nkamuuliza ww umewah kuweka vyet vyako net? na hata akiweka ww utaweza kujua km ni feki au la? akasema km watanzania wanasema ntaviweka, nkamuuliza tena cku watu wakisema hujakatwa suna utapga pcha nyet zako af u post ili waache kuchonga? Tufanye Kazi
 
Ha ha ha.. aise tz kuna watu waelewa na makini kama ww kijana, umemaliza kila kitu, wewe n mchambuz makini sana mkuu,.. watu wanajsemea tu bila kuwa na ushahidi.
 
Harmorapa mwenyewe anakimbiliwa na kuombwa selfie kwa kukimbia tuu bastola, itakua ShiteBoy?

Kulia kote kule kanisani asiombwe selfie?
 
Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
e82c7682d7c3e9ff5cafb0cd0d5301d9.jpg
Wakati si milele
 
Back
Top Bottom