Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Muda mwingine ni muhimu kubaki napicha za ukumbusho wa
kina D.B from Koromije kwaajili ya kuja kutumika kama reference kwa
wasiopenda shule ila wanatamani maisha mswano.
 
Hao vijana wanapiga picha na Bashite kama kituko na kumkejeli kwenye mitandao ya kijamii ushahidi huu hapa.
3011499a92cc630fd1dc6932636c92be.jpg

Wangekuwa hawampendi wasingepiga nae Picha.

Wanamuhusudu haswaaaa, na kutamani kuwa kama yeye. Anawapa kotisha wa kusoma na kupiga kazi wafike wanapotaka huko juuu

Makonda oyeeeee
 
Offcourse ukipiga picha na Daudi Bashite ni kumbukumbu nzuri tu ya kuwaonyesha wajukuu huko mbeleni kwamba huyu alikuwa ni Mwizi wa Cheti cha form 4, Mhalifu wa Taaluma na Jizi linalotumia jina feki.
 
Screenshot_2017-03-31-17-44-42.png
Baada ya kugombania kupiga nae picha wakapost hivi. [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Then fatilia post zao mitandaoni km ujakuta "nipo na fafafafaaa" au "bashite 0+" waswahili si watu wazuri jombaaa
 
Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
e82c7682d7c3e9ff5cafb0cd0d5301d9.jpg
Jifunze kutumia vema msamiati ktk lugha, ukiwahesabu hao watu ktk picha hawazidi hata kumi halafu unawaita umati.
 
Hao wanamkebehi tu,wakitoka hapo wanaenda kupost kwenye page zao wanamwandikia maneno ya shombo namna hii[emoji116]
fe77ba964cb64a6a7866b1625ecdf9e5.jpg


Nimeipenda kweli hii picha. Sasa huyo bidada kamkabidhi kabisa hayo machuchubaa ni mkewe au? Bashite naye hashibi huku anamkodolea mimacho mwingine tena nadhani ni FFoxy yule kada maarufu wa ccm
 
then inatuhusu nin sasa wa mfano, ww acha kutuletea ubashite wako apa
 
Back
Top Bottom