Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Unajua kufeli darasa la 4 na kuzungusha form four halafu unakuja kuwa mkuu wa mkoa ni jambo la kushangaza, mtu wa namna hiyo ukimuona ni lazima uombe selfie kwa kumbukumbu.Haikuwahi kutokea mtu aliyefeli darasa la 4 kuwa mkuu wa mkoa tangu enzi za uhuru
 
Kumbuka sio kila apigae picha nae hasa kwa matukio aliyofanya, anampenda awe makini asikute picha hizo zinazagaa mitandaoni kwa caption za ajabu. He has to be very careful
 
Na usidhan wote wanaepiga nae picha wanampenda .....wengine wanataka kitumia hizo picha kwa mambo yao
 
Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
e82c7682d7c3e9ff5cafb0cd0d5301d9.jpg
Unajuaje kuwa wanampenda? Hivi ukamfumania jamaa na mkeo, ukaamua kumgeuza jamaa kwa kumkomoa na ukawaomba wapambe wakupige picha. Je kwakuwa umepiga picha naye unampenda?
 
Hili taifa lina raia wanafki na wambea sana... Ndio maana hata rais anafanya kwa akili yake maana akiwasikiliza wanafki na wambea taifa litayumba
 
Mabeba ngada za mwenyekiti wa ufipa ndio hawampendi Makonda Kia sababu anatibua biashara ya ngada
 
Yaani vibashite 1,2,3,4,5,6 unasema ni umati?
Hizo ni zero 6zenye vyeti feki kama wewe!
Kuna video yake inazunguka kwenye magroup ya wasap..
Sema nmeifuta baada ya kuona ni unafki wa hali ya juu
mkuu kuwa serious kidogo .....mimi hapo naona simu 3 tu,,,huo umati unaouongelea wewe uko wp?
au ndio mahaba yenyewe
 
Back
Top Bottom