Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Picha:Umati wa watu ukigombania kupiga picha na RC Makonda

Angalia sura za watu anaopiganao picha.. inaonyesha ni washamba...
 
Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
e82c7682d7c3e9ff5cafb0cd0d5301d9.jpg
Plague_Zombies.jpg
 
Watu hawana kazi ukiwapa chai utapata followers tu.Simple game
 
Baadhi ya sifa za mchezaji bora wa mpira ni; nguvu, ubunifu, kutokuwa muoga, uvumilivu, uwezo wa kufunga magoli hasa kwenye mechi kubwa. Ikitokea Mchezaji huyu akapata kadi nyekundu katika baadhi ya mechi Kocha na wenye timu usononeka sana na hasa wawapo kwenye mashindano makubwa. Na hata washabiki wa mchezaji wa jinsi hii huwa ni wengi . Ziko pia timu ambazo hazitomuacha mchezaji wa jinsi hii pale anapoiacha timu yake ya mwanzo.
 
Hao wanaogombea kupiga picha naye nao ni akina Bashite tu.
Huwezi jua kwanini wanapiga picha nae. Kupiga picha na kitu au mtu ni documentary tu. Unaweza baadae ukasimulia wajukuu mambo kadha wa kadha uliyoexperience duniani.. hahahaha
 
Ili wapate cha kusimulia. Humu jf kila ukileta uzi utaambiwa kapicha tafadhari.
 
Kweli huyu mkuu anapendwa sana, huku watu wa wakimdis RC makonda hiyo ni picha ya watu waliokua wanajiselfie na Rc huyo huku wakitamani awe RC wao,..
e82c7682d7c3e9ff5cafb0cd0d5301d9.jpg
Hiyo jamaa kwa jinsi inavyochukiwa itakuwa hata mchanga wa nyayo zake ni dili.!
Maana hata fisi akionekana huwa wabongo kawaida hupiga naye picha.
 
Itakua walitaka kuhakikisha kweli ananuka mdogo
Shilawaduuuu
 
asee unakosea kitu kimoja tunavyomwambia alete vyeti haimaanishi tukikutana tusisalimiane na story tusipige hatujafikia hukoo.
 
Hao jamaa wanatupia picha hizo Facebook, Instagram nk pamoja na caption ya,,,,, nikiwa na bashite [emoji3][emoji16][emoji3][emoji16][emoji3][emoji16]. Kifupi wana mfanyia mocking Jamaa
 
Back
Top Bottom