Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan makimba?bado raw sewage inaingia baharini
Zinaonekana safi lakini hizo beach ukipima kiasi cha fecal matters utaona hazifai kabisa kuogelea.Beach zinasafishika, hiyo raw sewage CocoBeach wamemudu vipi kuiondoa mbona hizo beaches zina usafi kabisa
Yes, yanayokuja kwa mabomba bila kuwa treated.Yaan makimba?
Hao wenye uwekezaji wamefanya juhudi gani kusafisha maeneo yao na yanayowazunguka?Hapo ni sawa na mwenye nyumba anavyotakiwa kusafisha eneo la reserve na mitaro anayopakana nayo.Tuanze na wao kwanza tuone juhudi zao.Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands, Ramada, The Waves, Landmark nk....Mkuu wa Mkoa wa Dar hili ni la kulivalia njuga kama mlivyofanikiwa Coco Beach.
Hii inakwaza pia ukuaji wa utalii Dar. Uchafu hauvutii utalii wa FUKWE na eneo hili Lina beaches nzuri sana ila chafu sana. View attachment 3192322View attachment 3192324View attachment 3192326
Wanalipa kodi ya taka kwenye maeneo yao pekee... eneo la ufukwe ni mali ya serikali na hairuhusiwi kufanya shughuli zozote kule. Hakuna njia ya kukwepa wajibu huu wa halmashauri/manispaa/LGAs kusafisha maeneo yanayowahusu ingali wanakusanya ushuru.Hao wenye uwekezaji wamefanya juhudi gani kusafisha maeneo yao na yanayowazunguka?Hapo ni sawa na mwenye nyumba anavyotakiwa kusafisha eneo la reserve na mitaro anayopakana nayo.Tuanze na wao kwanza tuone juhudi zao.
Kwa nini umma ni mchafu? Hawezi kukumbushwa akawa msafi? Hata kwa lazima?Fukwe zetu ni mali ya umma! Baadhi ya fukwe zinazomilikiwa na mahoteri binafsi ni safi sana! Mfano wet&wild, whitesand, silversand. Sasa beach za cocobeach ni cha wote!
Kama masoko ni machafu vivyo hivyo haya masoko ya Kokobichi nayo yanatengeneza takataka, suluhisho ni kuyaondoa.Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands, Ramada, The Waves, Landmark nk....Mkuu wa Mkoa wa Dar hili ni la kulivalia njuga kama mlivyofanikiwa Coco Beach.
Hii inakwaza pia ukuaji wa utalii Dar. Uchafu hauvutii utalii wa FUKWE na eneo hili Lina beaches nzuri sana ila chafu sana. View attachment 3192322View attachment 3192324View attachment 3192326
taka za wanaofanya biashara Coco Beach kwa mfano ziko very well managed. Hata hayo mahoteli huko Mbezi beach nakozungumzia taka zao wanazimanage vizuri, tatizo lipo kwenye taka zinazosukumwa na maji zipo hapo na zinasababusha beach kuwa chafu sana hazifai hata kwa mazoezi unaweza kuchomwa na vitu vyenye ncha kali.Kama masoko ni machafu vivyo hivyo haya masoko ya Kokobichi nayo yanatengeneza takataka, suluhisho ni kuyaondoa.