Picha: Unyonge na udhaifu ni sifa ya Ndugai. Ona anavyonyooshewa Kidole Cha Onyo na Lisu

Picha: Unyonge na udhaifu ni sifa ya Ndugai. Ona anavyonyooshewa Kidole Cha Onyo na Lisu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Tundu Lissu ndiye mbunge wa kwanza duniani kuingia bungeni na vitabu vingi na kuvitumia vyote kujenga hoja zake. Kumshinda lissu kwa hoja, ni lazima uwe umesoma sana

Screenshot 2025-04-02 194027.png
 
Ndugai maskini na jimbo washampola - sasa ni mstaafu rasmi kama mimi, tofauti yeye atakuwa na ka ulinzi nyumbani kwake mie sina.

CCM mna dhambi nyie.
 
Tundu Lissu ndiye mbunge wa kwanza duniani kuingia bungeni na vitabu vingi na kuvitumia vyote kujenga hoja zake. Kumshinda lissu kwa hoja, ni lazima uwe umesoma sana

View attachment 3291364
Kwenye mikutano yake anayofanya ya kuomba pesa za tonetone hana k8tabu hata kimoja anaogopa kubeba wasimuone ana hela za kununua vitabu anajifanya maskini

Tapeli hasa
 
Back
Top Bottom