Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Bravooo. Kana wivu haka kisa zari anatawala madale

Jibu murua

Hawa jamaa wana akili sana. Pole to ur daddy kumbe yalishawahi kukutokea bana(sorry bana kwa usumbufu wa kukuelewesha)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovuu yatawatokaaa mtaongea yote lkn ukweli ndo huo
 
Mm sio shabik wake ila kwny ukwel lazm tusem uskalie ya wenzko wakt yako hjui jianglie kwnz ww
Kamabni kwenye ukweli basi usingekuja kumtetea mwanaume anayelea Mtoto wa mwanaume mwenzie wakati Picha inajieleza
 
Nilicho gundua unakitu rohoni maana Sio KwA ku force huko Ok anyway ww inakuuma nini Kama Sio mtoto wake
 
Wambie haioo ambao wanaona wivutu kwahiy watu wasipate watot SAS kisa et wa2 wataongea hayaa ongeeniiioio sas
Mkuu sie tunaongea kile macho yetu yameona, ukitoa ushabiki nambie na ww macho yako yameona nn
 
Huyu mtoto amefanana na tiffa. Ila na appearance ya kiume hicho kichwa.mdomo ni wa chibu.bado ni mdogo akikua sura itabadilika ila ni tiffa mtupu.mbona wenyewe hawana wasiwasi.
Mkuu huo mdomo sio wa mond Kabisa angalia vizuri, mkuu kusoma hujui hata Picha huoni??
 
Watu walisema Tiffa sio wa Diamond,mtoto amekua kafanana na Diamond. Sasa wameamia kwa uyu mdogo,na yeye akikua sijui watasema nini?
Mkuu kwa tiffa yalikuwa maneno hata mm hilo ckuliafiki kwasababu lile domo la babake ila huyu mmmh mkuu hata Picha huoni jamani au ndo mapenzi upofu??
 
Kwa nje waweza kuona kuna Full raha lakini walioko ndani wakawa wanako ktk Fulll karaha
Ni mtizamo tu
Bora umwambie ww mkuu maana mm watu kama hao huwa siwaquote wao wanahis kila mtu anaona wivu kama wanavowaonea wengine wivu, celebrity lazima asemwe na hasa yule anaeweka personal life kwenye public
 
Nilicho gundua unakitu rohoni maana Sio KwA ku force huko Ok anyway ww inakuuma nini Kama Sio mtoto wake
Kitu gani rohoni macelebrity wangapi wamesemwa na msanii anaeweka personal life kwenye public mambo yakibumburuka lazima tuseme[emoji2] [emoji2] [emoji2] punguza povu mkuu, by the way hiyo Picha we unaionaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…