miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
- Thread starter
- #141
Simpatii Picha Ivan anavomcheka kwa dharauAiseeee co kwa limbwata hili
Mkuu diamond nae kang"edia tuu hapo
Kama alienda leba
Badala ajiongeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simpatii Picha Ivan anavomcheka kwa dharauAiseeee co kwa limbwata hili
Mkuu diamond nae kang"edia tuu hapo
Kama alienda leba
Badala ajiongeze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mapovuu yatawatokaaa mtaongea yote lkn ukweli ndo huoBravooo. Kana wivu haka kisa zari anatawala madale
Jibu murua
Hawa jamaa wana akili sana. Pole to ur daddy kumbe yalishawahi kukutokea bana(sorry bana kwa usumbufu wa kukuelewesha)
Embu ongea ww mkuu, umeona nnHii picha hii
Kwa nje waweza kuona kuna Full raha lakini walioko ndani wakawa wako ktk Fulll karahaEndelea kuangaika kuunganisha mapicha wakati wenzio full raha
Kamabni kwenye ukweli basi usingekuja kumtetea mwanaume anayelea Mtoto wa mwanaume mwenzie wakati Picha inajielezaMm sio shabik wake ila kwny ukwel lazm tusem uskalie ya wenzko wakt yako hjui jianglie kwnz ww
Mkuu sie tunaongea kile macho yetu yameona, ukitoa ushabiki nambie na ww macho yako yameona nnWambie haioo ambao wanaona wivutu kwahiy watu wasipate watot SAS kisa et wa2 wataongea hayaa ongeeniiioio sas
Mkuu pole kwa nan cjaelewa, kwa Ivan au mond??Aseee pole San mkuuu kma hivy duuuuu
Hahahaaa aisee mkuu umeuaaa
Mkuu huo mdomo sio wa mond Kabisa angalia vizuri, mkuu kusoma hujui hata Picha huoni??Huyu mtoto amefanana na tiffa. Ila na appearance ya kiume hicho kichwa.mdomo ni wa chibu.bado ni mdogo akikua sura itabadilika ila ni tiffa mtupu.mbona wenyewe hawana wasiwasi.
Labda wewe mkuuWengi wenu mmeleewa na baba ambao sio wenu nan aliwaingilia
Haya wahusika wamekusikiaKwa yeyote anaehusika
Mkuu kwa tiffa yalikuwa maneno hata mm hilo ckuliafiki kwasababu lile domo la babake ila huyu mmmh mkuu hata Picha huoni jamani au ndo mapenzi upofu??Watu walisema Tiffa sio wa Diamond,mtoto amekua kafanana na Diamond. Sasa wameamia kwa uyu mdogo,na yeye akikua sijui watasema nini?
Bora umwambie ww mkuu maana mm watu kama hao huwa siwaquote wao wanahis kila mtu anaona wivu kama wanavowaonea wengine wivu, celebrity lazima asemwe na hasa yule anaeweka personal life kwenye publicKwa nje waweza kuona kuna Full raha lakini walioko ndani wakawa wanako ktk Fulll karaha
Ni mtizamo tu
Mkuu kwa tiffa yalikuwa maneno hata mm hilo ckuliafiki kwasababu lile domo la babake ila huyu mmmh mkuu hata Picha huoni jamani au ndo mapenzi upofu??
Kitu gani rohoni macelebrity wangapi wamesemwa na msanii anaeweka personal life kwenye public mambo yakibumburuka lazima tuseme[emoji2] [emoji2] [emoji2] punguza povu mkuu, by the way hiyo Picha we unaionajeNilicho gundua unakitu rohoni maana Sio KwA ku force huko Ok anyway ww inakuuma nini Kama Sio mtoto wake
Lakini wewe ukiangalia hiyo Picha unaona Kabisa anafanana na mond??Wala sio mapenzi upofu ,ila nimeongelea vitu vilivyitokea kabla na sasa hivi imetokea tena.