Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Mliishaambiwa ni project bado mnataka kujua nini zaidi.....unadhani hela za GSM zingeingia bila prince ...south madili yaliisha dili ni Tanzania.....naomba mungu tu mwisho wa project asidhulumiwe mtu
 
Akili itamrudia huyu daimondi wenu.
Atajua au anajua sasa mwanamke ni kiumbe gani.

Ajiweke karibu na baba yake apate kuyajua ya kiumeni.

Sio anatubania pua eti "kuchapiwa ni siri ya ndani" muhenga gani alisema hivyo kama siyo mama yake tu huyo?

SIRI IMEFICHUKA.
 
Kina roho mbaya, pia Diamond akili hana au msimamo, yale yake ya Kanumba alimtenga baba yake, laana ikamrudia
Hii laana itamwandama Diamond asipotubu na kumsamehe babaake , laana ya kwanza ndo hii ya kulea Mtoto aso wake tena na kumfanyia arobain ya kihistoria, simpatii Picha Ivan anavomcheka kwa dharau
 
Hivi humu jamvin hamna waganda ni mimi tu,
Ssebo tuyagalla omwana waitu nyabo, nze kugamba buteka muli mbalala yona, kati Tanzania tugila a son ku blood,
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13]
 
Akili itamrudia huyu daimondi wenu.
Atajua au anajua sasa mwanamke ni kiumbe gani.

Ajiweke karibu na baba yake apate kuyajua ya kiumeni.

Sio anatubania pua eti "kuchapiwa ni siri ya ndani" muhenga gani alisema hivyo kama siyo mama yake tu huyo?

SIRI IMEFICHUKA.
Mkuu laana inakuja taratibu mzazi ni mzazi na wala hakuna kosa LA mzazi kwa Mtoto wake
 
Huyo mtt ni diamond kabixa wabongo tumewazoea mlianza diamond anauwezo wa kumpa mwanamke mimba mkashika bango sana bahati nzuri akapata mtt wa kiganda akanasa mimba mkaaza tena tiffa siyo mtt wa diamond ni wa katunzi Mungu Kawaibisha kila mtt akikuwa anafanana diamond paka sasa hiv mmeamia kwa nilla mtapiga kelele mtachoka huyo mtt ni diamond acheni majungu
 
Back
Top Bottom