miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
- Thread starter
- #61
Hahaaaa undugu tena , au ndo mana mond anasema ana asili ya ugandaNgumu kumesaa, labda wana undugu na Ivan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa undugu tena , au ndo mana mond anasema ana asili ya ugandaNgumu kumesaa, labda wana undugu na Ivan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] limbwata hadi upofu wa macho aioni sura mtoto vizuri
Mkuu unamalizia kiroba cha ngapi vileMbona anafanana na diamond kbs? Tatzo mmetawaliwa na chuki binafsi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] timu madale punguza mapovuuMkuu maisha yangu na yako ni ya hiviView attachment 474838
Wivu kwa mtu kama huyu niView attachment 474839 kujipa stress tu
[emoji134] [emoji23]Ngumu kumesaa, labda wana undugu na Ivan
wabongo majungu aiseeView attachment 474822
Mimi binafsi nimekosa cha kuongea kama diamond anaamini huyu Mtoto ni wa kwake basi hili limbwata sio La nchi hii, Ila huyu Ivan ana damu kali sana
Hii laana itamwandama Diamond asipotubu na kumsamehe babaake , laana ya kwanza ndo hii ya kulea Mtoto aso wake tena na kumfanyia arobain ya kihistoria, simpatii Picha Ivan anavomcheka kwa dharauKina roho mbaya, pia Diamond akili hana au msimamo, yale yake ya Kanumba alimtenga baba yake, laana ikamrudia
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji13] [emoji13]Hivi humu jamvin hamna waganda ni mimi tu,
Ssebo tuyagalla omwana waitu nyabo, nze kugamba buteka muli mbalala yona, kati Tanzania tugila a son ku blood,
We mbona hujalalaHivi mnashindwa kulala kwa ajili ya watoto wa zari , wabongo mnamambo jamani
Nambie shoga mwenzangu,Meta uzi ni shoga
Mkuu laana inakuja taratibu mzazi ni mzazi na wala hakuna kosa LA mzazi kwa Mtoto wakeAkili itamrudia huyu daimondi wenu.
Atajua au anajua sasa mwanamke ni kiumbe gani.
Ajiweke karibu na baba yake apate kuyajua ya kiumeni.
Sio anatubania pua eti "kuchapiwa ni siri ya ndani" muhenga gani alisema hivyo kama siyo mama yake tu huyo?
SIRI IMEFICHUKA.