Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

Picha: Utata wa sura ya Mtoto wa Diamond

View attachment 474822
Mimi binafsi nimekosa cha kuongea kama diamond anaamini huyu Mtoto ni wa kwake basi hili limbwata sio La nchi hii, Ila huyu Ivan ana damu kali sana
Screenshot_2017-02-26-21-35-10.png
 
Pressure ipi mkuu, Tiffa yalisemwa hayo sasa watu wameumbuka mtoto ni Diamond mtupu. Mtoto Nillani yuko Madale kwa baba yake.
Yule Tiffah hana maneno mkuu.

Yule wa kwenu kabisa...mmefanana nae ila huyu mbona kafanana na baba ake wa kambo?!
 
Huyu mtoto amefanana na tiffa. Ila na appearance ya kiume hicho kichwa.mdomo ni wa chibu.bado ni mdogo akikua sura itabadilika ila ni tiffa mtupu.mbona wenyewe hawana wasiwasi.
 
Back
Top Bottom