Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Ngorongoro sio sehemu ya kwanza kuhamishwa raia ilibkupisha matumizi ya umma sasa ninashangaa hilo limekua gumzo, au shida ni kwakua mwekezaji ni mwarabu?
Ndiyo,kwa nini Mwarabu?Yupo wapi Katabalo?Ngorongoro sio sehemu ya kwanza kuhamishwa raia ilibkupisha matumizi ya umma sasa ninashangaa hilo limekua gumzo, au shida ni kwakua mwekezaji ni mwarabu?
Tangu lini Maasai wanaimiliki Ngorongoro ? Ardhi ni mali ya umma ndugu yangu.Hii ni ushahidi kuwa, hakuna consesus kati ya wananchi na serikali...
Kupeleka askari ili kusimamia uwekaji wa alama bila ridhaa ya wananchi wenyeji wamiliki wa ardhi hiyo, ni dalili ya vita kubwa..
Nani atazilinda hizo beacons? Ina maana kila siku watakuwapo askari kulinda kila beacon?
Serikali ijitafakari. Nguvu ya umma ikiamua, hakuna awezaye kusimama mbele yake hata uwe na bunduki zote duniani...!
Kwa misingi hiyo watu binafsi hawaruhusiwi/hawawezi kumiliki ardhiTangu lini Maasai wanaimiliki Ngorongoro ? Ardhi ni mali ya umma ndugu yangu.
Tutajoe sehemu nyingine raia walihamishwa.Ngorongoro sio sehemu ya kwanza kuhamishwa raia ilibkupisha matumizi ya umma sasa ninashangaa hilo limekua gumzo, au shida ni kwakua mwekezaji ni mwarabu?
Ni kweli ardhi ni mali ya umma, hilo umepatia kabisa, hakuna ubishi..Tangu lini Maasai wanaimiliki Ngorongoro ? Ardhi ni mali ya umma ndugu yangu.
Wameongezeka sana kwa sasa. Inabidi waondoke tuNi kweli ardhi ni mali ya umma, hilo umepatia kabisa, hakuna ubishi..
Tatizo linaweza likawa labda hujui maana ya "umma"
"Umma" maana yake ni watu, wananchi. Na kama ndiyo hivyo, maana yake ni kuwa, wamaasai ndiyo "umma" wenyewe..
Hiyo ardhi ni mali yao Wamasai vizazi na vizazi. Unathubutuje kuhamisha wa eneo kubwa kama lile vijiji na vijiji eti ili kupisha wanyama tu wakati karne na karne Wamasai hao hao wamekuwa wakiishi na wanyama hao...!?
Hilo halikubaliki na wafanyao hayo lazima wapingwe kwa nguvu zote. NGUVU YA UMMA ITASHINDA TU...!!
Sasa huku unafanya nini?Hv mkuu Unazungumzia Somalia kwa mabaya hivyo kumekukosea nn.. hujui sisi wengine ndio Motherland na hatujutii kuzaliwa huko