Picha: Uwekaji alama Loliondo, mitutu ya bunduki kama Mogadishu Somalia

Picha: Uwekaji alama Loliondo, mitutu ya bunduki kama Mogadishu Somalia

Ngorongoro sio sehemu ya kwanza kuhamishwa raia ilibkupisha matumizi ya umma sasa ninashangaa hilo limekua gumzo, au shida ni kwakua mwekezaji ni mwarabu?

Wewe ni mmoja wao msio na huruma na raia wa Tanzania Mama! Wewe ni mpuliza filimbi wa 10% na inawezekana hata hiyo huioni as long uko uko tu unapuliza zumali! Haijalish mwekezaji mwarabu mnubi hata msukuma, respect manhood respect ancestors respect human nature! Wewe mwenyewe unapoishi haijalish ukihamishwa utalalamika
 
Hii ni ushahidi kuwa, hakuna consesus kati ya wananchi na serikali...

Kupeleka askari ili kusimamia uwekaji wa alama bila ridhaa ya wananchi wenyeji wamiliki wa ardhi hiyo, ni dalili ya vita kubwa..

Nani atazilinda hizo beacons? Ina maana kila siku watakuwapo askari kulinda kila beacon?

Serikali ijitafakari. Nguvu ya umma ikiamua, hakuna awezaye kusimama mbele yake hata uwe na bunduki zote duniani...!
Tangu lini Maasai wanaimiliki Ngorongoro ? Ardhi ni mali ya umma ndugu yangu.
 
Hivi huko si ndiko kwenye kikombe cha babu ina maana mpaka kwake wametolewa

Nauliza tu kujua

Ova
 
Tangu lini Maasai wanaimiliki Ngorongoro ? Ardhi ni mali ya umma ndugu yangu.
Ni kweli ardhi ni mali ya umma, hilo umepatia kabisa, hakuna ubishi..

Tatizo linaweza likawa labda hujui maana ya "umma"

"Umma" maana yake ni watu, wananchi. Na kama ndiyo hivyo, maana yake ni kuwa, wamaasai ndiyo "umma" wenyewe..

Hiyo ardhi ni mali yao Wamasai vizazi na vizazi. Unathubutuje kuhamisha wa eneo kubwa kama lile vijiji na vijiji eti ili kupisha wanyama tu wakati karne na karne Wamasai hao hao wamekuwa wakiishi na wanyama hao...!?

Hilo halikubaliki na wafanyao hayo lazima wapingwe kwa nguvu zote. NGUVU YA UMMA ITASHINDA TU...!!
 
Hv mkuu Unazungumzia Somalia kwa mabaya hivyo kumekukosea nn.. hujui sisi wengine ndio Motherland na hatujutii kuzaliwa huko
 
Ni kweli ardhi ni mali ya umma, hilo umepatia kabisa, hakuna ubishi..

Tatizo linaweza likawa labda hujui maana ya "umma"

"Umma" maana yake ni watu, wananchi. Na kama ndiyo hivyo, maana yake ni kuwa, wamaasai ndiyo "umma" wenyewe..

Hiyo ardhi ni mali yao Wamasai vizazi na vizazi. Unathubutuje kuhamisha wa eneo kubwa kama lile vijiji na vijiji eti ili kupisha wanyama tu wakati karne na karne Wamasai hao hao wamekuwa wakiishi na wanyama hao...!?

Hilo halikubaliki na wafanyao hayo lazima wapingwe kwa nguvu zote. NGUVU YA UMMA ITASHINDA TU...!!
Wameongezeka sana kwa sasa. Inabidi waondoke tu
 
Wanapima vowanja au mipaka ya waarabu na wamasai.
Hao waarabu huko kwao walishatuona tunagombea visima vya mafuta?
 
Back
Top Bottom