Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Ngorongoro sio sehemu ya kwanza kuhamishwa raia ilibkupisha matumizi ya umma sasa ninashangaa hilo limekua gumzo, au shida ni kwakua mwekezaji ni mwarabu?
Wewe ni mmoja wao msio na huruma na raia wa Tanzania Mama! Wewe ni mpuliza filimbi wa 10% na inawezekana hata hiyo huioni as long uko uko tu unapuliza zumali! Haijalish mwekezaji mwarabu mnubi hata msukuma, respect manhood respect ancestors respect human nature! Wewe mwenyewe unapoishi haijalish ukihamishwa utalalamika