Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja.

Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi.

---
Hizi video ni daraja la Tegeta kwa Ndevu.


20230319_152819.jpg

 
Baadhi ya sehemu Jiji la Dar kuna mvua ya kawaida tu, si ya kutiririsha maji.
 
Sisi huku chugastan na moshistan bado tunasubiria iyo mvua maana tushalata tamaa
 
Jamanii!Mungu awakumbe uko Nina bro wangu anaishi Moshi anasema mwaka wa pilihuu mvua hazieleweki
 
Mimi nimefaidika kwa kupata maji ya mvuwa, nipo indoor naperuzi internet tu kwa raha zangu.
 


 
Back
Top Bottom