Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
Jifunze kuwatakia kheri wengine bro; kwasababu hujui kesho yako.Mtanyooka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jifunze kuwatakia kheri wengine bro; kwasababu hujui kesho yako.Mtanyooka
Wanakimbia manyunyu utafikiri wana nywele zimewekwa relaxer 😅😅Wakiona manyunyu wanakimbia, ila magari mwendo kasi hawaogopi..😜😜
Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja.
Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi.
---
Hizi video ni daraja la Tegeta kwa Ndevu.
View attachment 2558061
View attachment 2558067
View attachment 2558084
View attachment 2558090
Na bado siku 6 jana ilikuwa siku ya kwanzaKwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja.
Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi.
---
Hizi video ni daraja la Tegeta kwa Ndevu.
View attachment 2558061
View attachment 2558067
View attachment 2558084
View attachment 2558090
Wanadar tutanyooka, ukiachilia shida zote hizo bora hali ya hewa ya ubaridi imetupumzisha jotoNa bado siku 6 jana ilikuwa siku ya kwanza
Makosa ni ya serikali Dar ilitakiwa ipangwe kabla population haijawa kubwa.Baada ya kuona hizi picha leo nakiri kuhamisha makao makuu Dodoma ni uamuzi sahihi kabisa.
Dar ni mkoa pekee unaweza kuanza kujenga bila kuwa na hati wala vibali na ukaangaliwa tu bila hatua zozote na hii mpaka leo, serikali za mitaa zipo sijui Halmashauri wewe jenga tu na hutaulizwa. Kwa sasa tumeshachelewa ni ugonjwa inabidi tuishi nao tu mpaka siku wakiweka siasa pembeni kwamba kwa yoyote aliyejenga katika njia za maji aondolewe haraka watu wasiangalieni usoni mtu kuanza kulia "mimi mjane nitawapeleka wapi watoto zangu" kila aliyejenga hana document aondoke japo najuwa halitafanyika hatuna ushujaa huo. Nategemea Dodoma hili halitatokea hasa fursa zikianza kuwa nyingi na wavamizi hutawakosa. Dodoma mpaka sasa nyumba zimepangiliwa na sheria za ujenzi zinaheshimika ila serikali isibweteke wasimamie sheria ili lisitokee tunaloliona Dar leo. Kumbuka Dar imezungukwa na bahari lakini maji hayatoki ni ajabu lakini huzuni pia ni shida ya miaka na miaka, hivi tukija kupata vimbunga sio itakuwa janga la kitaifa? Mungu atuepushe.Makosa ni ya serikali dar ilitakiwa ipangwe kabla population haijawa kubwa,
Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja.
Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi.
---
Hizi video ni daraja la Tegeta kwa Ndevu.
View attachment 2558061
View attachment 2558067
View attachment 2558084
View attachment 2558090
Kuna bahati mbaya ujue, unawezafikwa hata wewe😂aisee!!
huyo dere aliambiwa Prado zinapita popote
Kimara Kuna miinuko na mito mingiUkiwa huku kimara unaweza ukajua mji wote uko shwari
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Hameni bondeni. Mfano hapo WANI HALL ni Mtoni Kabisa pamekaa wazi miaka nenda Rudi Cha ajabu Mtu kaja kuweka ukumbi na biashara zingine na anajua Wazi ni Mtoni halafu analalamika hovyo . Hameni bondeni siyo sehemu salamaKwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja.
Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi.
---
Hizi video ni daraja la Tegeta kwa Ndevu.
View attachment 2558061
View attachment 2558067
View attachment 2558084
View attachment 2558090
Mbona Mbagala,Buza Gongo la Mboto hakujapangwa na hakuna Mafuriko? Endelea kufikiria vizuri tu utapata jibu.Tatizo la Tanzania liliasisiwa na serikali kutopangilia miji na majiji kisha kuuza viwanja, ilitakiwa serikali ijimilikishe viwanja vyote
Dar imeshaharibika, Magufuli aliona hapamfaiBaada ya kuona hizi picha leo nakiri kuhamisha makao makuu Dodoma ni uamuzi sahihi kabisa.
Kabisa shughuli za kiserikali na hali hii kazi haiendi ni jambo zuri sana kujenga goverment city wizara zote sehemu moja nimeona kwenye Youtube inaonekana vizuri sana na wakimaliza patapendeza sana.Dar imeshaharibika, Magufuli aliona hapamfai