Sana kweli mvua ya siku moja tu hali hivi kwa kweli hapana kwa kweli.Jiji la hovyo sana hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana kweli mvua ya siku moja tu hali hivi kwa kweli hapana kwa kweli.Jiji la hovyo sana hilo
Naona upo makini kama muuza pweza unapiga picha hadi twiga wetu subiri mvua ikwishe nije huko huko juu
Ni pajero GDI hyo sio Pradoaisee!!
huyo dere aliambiwa Prado zinapita popote
Tunatekeleza !!Tupeane updates za mvua ya leo maana vyombo vya habr leo kimya hata sioni vikireport hali ya leo. Huku mbezi Africana, Rafia, salasala hali ni mbaya huko kwenu vipi?
MBONA YANGA KASHINDA KAMA HALI NI MBAYA?Tupeane updates za mvua ya leo maana vyombo vya habr leo kimya hata sioni vikireport hali ya leo. Huku mbezi Africana, Rafia, salasala hali ni mbaya huko kwenu vipi?
MBONA YANGA KASHINDA KAMA HALI NI MBAYA?
Hamjazoea tu mvua
Ova
Kwahyo asiwalinde au Kuokoa familia sasa, asubiri uchaguzi 2025?Mbunge wako ni nani na anatoka chama gani, jiji linapanuka ,miundo mbinu yake bado aliyoiacha mkoloni wa kijerumani, jiji halina kabisa underground drainage systems na hayo ndio matokeo yake, yule mgombea aliyeahidi kuwapeleka USA hajafanya hivyo?,tumia vizuri kura yako 2025 usiongopewe tena
Punguzeni kudeka aisee...Tupeane updates za mvua ya leo maana vyombo vya habr leo kimya hata sioni vikireport hali ya leo. Huku mbezi Africana, Rafia, salasala hali ni mbaya huko kwenu vipi?
HameniMiundombinu mibovu
Ebu punguza kudeka mkuu..😜Acha kuleta utoto kwenye vitu serious.
Wakiona manyunyu wanakimbia, ila magari mwendo kasi hawaogopi..😜😜Hamjazoea tu mvua
Ova
Hawa wanaume wa Dar wana matatizo sana, wanaogopa kila kitu!Punguzeni kudeka aisee...