Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile
+haya tunajua hukosei lakini subiri ipite miezi angalau miwili!
+acha Nana iwakimbize kwanza!
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile
Mwe!jirani, am speechless.
+teh! teh! funguka tu jirani, ila huyu raisi wetu speed yake hataree!
Nasubiri video ya chekecha.
Nataka kuona zile suti na sketi ndefu za kisabato zilivaliwa wapi!
Teh teh! Tutafika tuu
Huyu jamaa kashapanic sasa video mpya kila wiki alafu zinabuma zote.
Asubirie j3 king ataenda kuisimamisha dunia
wewe ndo umepanic video ya nana ndo nyimbo ya africa kila kona ipo top 10,
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile