Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!

Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,285
Mwenyewe aapa mtaipenda
Baada ya kama RONALDO sasa hivi ni Kama NINJA!
 
Attachments

  • 1435433400950.jpg
    1435433400950.jpg
    51 KB · Views: 2,249
Tafuna mifupa angali meno yapo, ndio wakati wake.!
 
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile
 
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile

Kwan nani anataka kutoa na anasubiri nn kutoa? hv kutoa video kunazamu hapa bongo kwamba akianza huyu afuate huyu.Hii ni biashara wacha ijiendeshe kutokana na ubora wa bidhaa,this is a free market
 
+haya tunajua hukosei lakini subiri ipite miezi angalau miwili!

+acha Nana iwakimbize kwanza!
 
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile

Ndo ushindani tunao utaka ushindani wa kazi sio wa majungu na matusi hata hivyo iyo nyimbo itatoka mwezi wa 10 akishachukua tuzo za AFRIMMA zitakazofanyika USA
 
Nasubiri video ya chekecha.
Nataka kuona zile suti na sketi ndefu za kisabato zilivaliwa wapi!
Teh teh! Tutafika tuu

+Hata sisi majirani zenu tunaisubiri kwa hamu maana naona mshaanza kutujambisha na exclusive za trace TV

+ila kama mambo ndo yanaenda ivo kiintaneshno fresh tu si tunachotaka wanaija na wenyewe waanze kutia heshima!
 
Huyu jamaa kashapanic sasa video mpya kila wiki alafu zinabuma zote.

Asubirie j3 king ataenda kuisimamisha dunia
 
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile

Nani huyo anataka kutoa nyimbo mpya ambaye ana takiwa asubiriwe na nchi nzima ikae kimya? Kwa hiyo Diamond akae kimya kisa kuna mtu anatoa wimbo? Kama kweli mnataka ushindani ondoeni visingizio...!

Kila msanii ana ratiba zake ...! Mwache kijana atoe nyimbo maana inalipa..
 
Back
Top Bottom