unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Kika anawaudha nyinyi, diamond sio level ya mwanamuziki yeyote EA, sauti sol wenyewe wameliongea hilo bila kinyongo... Afu kijitu cha mchangani kinajifanya kututumua mbavu hahahaha..
Kumuongelea kiba tutazidi sana kumuongelea coz, ndio njia pekee ya kudeal na watu ainayenu,
Chibu dangote collable kaanza kufanya 2013 my number one remix na davido, huohuo mwaka akafanya na iyanya "nakupenda" wimbo wa kwanza yeye kushirikishwa na msanii mkubwa... Enzi hizo huyo kibakuli wenu anazunguka saccos ili aweze kuishi baada ya game kuwa gumu acha kuniambia dangote alikuwa anamuwazia kibakuli 2013 hahahaha
Afu nikurekebishe my number one aliyoimba diamond pekeyake ndio iliyompa tuzo 3 kwenye channel o na sio my number one remix, mdogo mdogo imempa IRAWAMA ya marekani kuwa mtumbuizaji bora Afrika 2014, akimshinda davido wako na aye Nyambaaaaaaaaaaaaaaaafu mwaka mchungu sana huu unataka ku compare bajaji na ferrari aaaaaaaaaaah bwanaaa
Hili gazeti lote linaonyesha jinsi mlivyopagawa hahaahaha mbona mwaka huu mtasema sana historia. Hahahahahah wapi davidooooooo. Cheaters