Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!


Tangu aanze kusema "should I drop this one " hajawahi kuachia izo alizosema should I drop zaidi ya maneno tu kama muuza karanga barabarani
 
Ulitaka avae zile nguo ambazo zimechanika magotini na mapajani?

Hata kama mnamshabikia mwambieni u-smart unahitajika na naona akichoka kutoa hizo shooting mbovumbovu ataanza kuvua kama Shilole...maana kwenye shooting ya mwana aliyofanyia chooni alitaka kusaula hicho kitaulo sema Godfather akamuwahi akamuwasha kibao na akamwambia aache tabia za uswahilini akiwa kwa Madiba
 
Tangu aanze kusema "should I drop this one " hajawahi kuachia izo alizosema should I drop zaidi ya maneno tu kama muuza karanga barabarani

Mkuu pengine wewe humfatilii vyema kwanza hilo huwa ni swali...kuna ? mara ya mwisho aliuliza baada ya kutoa wimbo wa nasema nawe na kweli baada ya kupata mwitikio aka drop Nana.....! Safari hii hajauliza labda umemchanganya...safari hii kasema nina hakika mtaipenda hii video hakusema ana drop chochote kuwa na amani...!
 
Tangu aanze kusema "should I drop this one " hajawahi kuachia izo alizosema should I drop zaidi ya maneno tu kama muuza karanga barabarani

Nana aliuliza na ameshaiachia.. Ata hivyo usiwe na wasiwasi hiyo sio ya sasa hivi.
 

Hahahahahah
 
Tangu aanze kusema "should I drop this one " hajawahi kuachia izo alizosema should I drop zaidi ya maneno tu kama muuza karanga barabarani

Twende taratibu kaka, kwani kuna tatizo gani hapa? Mbona pressure juu? Teh teh. .
 
Who needs to be alertd of the .....?! The what? Sina juni zuri la ku compliment.
 
Narudia tena. Kuamini sifuri ni kubwa kuliko moja ni uchawahi uliopitiliza.
 
fafanua mkuu

Simple. Sifuri ni K 4 Real na mashabiki zake wanaomini wao wako juu kuliko Rais wa Jamhuri ya Watu Wasafi. Ujue vitu vingine tusiwe tunafosi, kwa mfano huo wimbo Mwana uliobeba tuzo tana hata kwenye nomination moja ya kimataifa haupo, Halafu tukija kwa president wimbo wake wa Bumbum haukuwepo kwenye category yoyote ile ya KTMA, ila uko nominated tuzo za MAMA. Mtu ambaye nyimbo zake mbili kati ya nne alizofanya kimataifa zimeshika namba moja, na wewe huna hata moja. Wakushindana nae huyo? Haya na hiyo Nana iko namba tatu, tunaexpect next wiki itashika namba moja. Mtu ambae unasema una bifu nae huku ukimuongelea kila siku na yeye kamyuti tu, si ina maana hajui hata existing ya hilo bifu.
MTU ambaye leo hii kaingia South, Radio kama 3 zimemuomba kufanya nae interview, mwenzako huyo?

MTU mwenye jeuri ya kusitisha kwa muda kufanya kolabo na wasanii wakimataifa na bado akamenteini, mwenzako huyo?

Nitakua MCHAWI, na sipendi kuwa MCHAWI wala kuonekana MCHAWI.

Maana UCHAWI ni kuamini sifuri inaweza ikaipita moja.
 

nakuomba uangalie daladala tour then angalia video yeyote dangote akiwa mtaani nadhani utaona hata kichefuchefu kulinganisha dimbwi na bahari.... chibu ni level nyingineeeee #dadeki

Nikurekebisha hapo nana kwenye trace ni ya 2, Yfm redio mojawapo kubwa sa ni ya 1, Mtv base ni ya 7 inazidi kupanda tu yaniiiiiio...
 
+haya tunajua hukosei lakini subiri ipite miezi angalau miwili!

+acha Nana iwakimbize kwanza!
Hilo lisikupe shida! Hii picha hapa chini alii-post zaidi ya miezi mitatu iliyopita then angalia ni wakati gani ali-release video husika!
 
Nana aliuliza na ameshaiachia.. Ata hivyo usiwe na wasiwasi hiyo sio ya sasa hivi.
Nimewawekea picha ya Nana ambayo alii-post zaidi ya miezi 3 iliyopita na video ikaja kutoka miezi miwili baadae! Hao wanaosema Diamond ame-panic inaonekana wao ndo wame-panic kwa kile wanachodhani hilo kombola linataka kuachiwa sambamba na Cheketua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…