Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,947
- 2,108
Huyo kiba kwenye shooting ya cheketua kavalia suti ya bluu kama askari magereza
Ulitaka avae zile nguo ambazo zimechanika magotini na mapajani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo kiba kwenye shooting ya cheketua kavalia suti ya bluu kama askari magereza
Dah kanali unaua!!Huyo kiba kwenye shooting ya cheketua kavalia suti ya bluu kama askari magereza
Nani huyo anataka kutoa nyimbo mpya ambaye ana takiwa asubiriwe na nchi nzima ikae kimya? Kwa hiyo Diamond akae kimya kisa kuna mtu anatoa wimbo? Kama kweli mnataka ushindani ondoeni visingizio...!
Kila msanii ana ratiba zake ...! Mwache kijana atoe nyimbo maana inalipa..
Ulitaka avae zile nguo ambazo zimechanika magotini na mapajani?
Tangu aanze kusema "should I drop this one " hajawahi kuachia izo alizosema should I drop zaidi ya maneno tu kama muuza karanga barabarani
Ni jiwe baada ya jiwe
Tangu aanze kusema "should I drop this one " hajawahi kuachia izo alizosema should I drop zaidi ya maneno tu kama muuza karanga barabarani
Hata kama mnamshabikia mwambieni u-smart unahitajika na naona akichoka kutoa hizo shooting mbovumbovu ataanza kuvua kama Shilole...maana kwenye shooting ya mwana aliyofanyia chooni alitaka kusaula hicho kitaulo sema Godfather akamuwahi akamuwasha kibao na akamwambia aache tabia za uswahilini akiwa kwa Madiba
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile
Nasubiri video ya chekecha.
Nataka kuona zile suti na sketi ndefu za kisabato zilivaliwa wapi!
Teh teh! Tutafika tuu
Tangu aanze kusema "should I drop this one " hajawahi kuachia izo alizosema should I drop zaidi ya maneno tu kama muuza karanga barabarani
Dah kanali unaua!!
Askari magereza wepi hao wanavaa suti za blue!!
Narudia tena. Kuamini sifuri ni kubwa kuliko moja ni uchawahi uliopitiliza.
fafanua mkuu
Simple. Sifuri ni K 4 Real na mashabiki zake wanaomini wao wako juu kuliko Rais wa Jamhuri ya Watu Wasafi. Ujue vitu vingine tusiwe tunafosi, kwa mfano huo wimbo Mwana uliobeba tuzo tana hata kwenye nomination moja ya kimataifa haupo, Halafu tukija kwa president wimbo wake wa Bumbum haukuwepo kwenye category yoyote ile ya KTMA, ila uko nominated tuzo za MAMA. Mtu ambaye nyimbo zake mbili kati ya nne alizofanya kimataifa zimeshika namba moja, na wewe huna hata moja. Wakushindana nae huyo? Haya na hiyo Nana iko namba tatu, tunaexpect next wiki itashika namba moja. Mtu ambae unasema una bifu nae huku ukimuongelea kila siku na yeye kamyuti tu, si ina maana hajui hata existing ya hilo bifu.
MTU ambaye leo hii kaingia South, Radio kama 3 zimemuomba kufanya nae interview, mwenzako huyo?
MTU mwenye jeuri ya kusitisha kwa muda kufanya kolabo na wasanii wakimataifa na bado akamenteini, mwenzako huyo?
Nitakua MCHAWI, na sipendi kuwa MCHAWI wala kuonekana MCHAWI.
Maana UCHAWI ni kuamini sifuri inaweza ikaipita moja.
Nimewawekea picha ya Nana ambayo alii-post zaidi ya miezi 3 iliyopita na video ikaja kutoka miezi miwili baadae! Hao wanaosema Diamond ame-panic inaonekana wao ndo wame-panic kwa kile wanachodhani hilo kombola linataka kuachiwa sambamba na Cheketua.Nana aliuliza na ameshaiachia.. Ata hivyo usiwe na wasiwasi hiyo sio ya sasa hivi.