Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile
Huyu jamaa kashapanic sasa video mpya kila wiki alafu zinabuma zote.
Asubirie j3 king ataenda kuisimamisha dunia
Ulitaka avae zile nguo ambazo zimechanika magotini na mapajani?
Ngoma baada ya Ngoma!!!!
Mwe!jirani, am speechless.
Hilo lisikupe shida! Hii picha hapa chini alii-post zaidi ya miezi mitatu iliyopita then angalia ni wakati gani ali-release video husika!
View attachment 264024
Ulitaka avae zile nguo ambazo zimechanika magotini na mapajani?
+za kuchanika magotini kama zipi, hizi hapa au?
msamehe harudii tena kushabikia u div5
Hata kama mnamshabikia mwambieni u-smart unahitajika na naona akichoka kutoa hizo shooting mbovumbovu ataanza kuvua kama Shilole...maana kwenye shooting ya mwana aliyofanyia chooni alitaka kusaula hicho kitaulo sema Godfather akamuwahi akamuwasha kibao na akamwambia aache tabia za uswahilini akiwa kwa Madiba
nakuomba uangalie daladala tour then angalia video yeyote dangote akiwa mtaani nadhani utaona hata kichefuchefu kulinganisha dimbwi na bahari.... chibu ni level nyingineeeee #dadeki
Nikurekebisha hapo nana kwenye trace ni ya 2, Yfm redio mojawapo kubwa sa ni ya 1, Mtv base ni ya 7 inazidi kupanda tu yaniiiiiio...
Watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kupinga uchawi. #SAYNOTOWICHCRAFT
Nasubiri video ya chekecha.
Nataka kuona zile suti na sketi ndefu za kisabato zilivaliwa wapi!
Teh teh! Tutafika tuu
Ya yule msanii chipukizi....????
mchawi humjua mchawi mwenzake sababu hukutana wote kwenye vikao vya kuwanga.
Acha kuingiza watanzania kwenye mambo ya uchawi.