Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!

Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!

Huyu jamaa kashapanic sasa video mpya kila wiki alafu zinabuma zote.

Asubirie j3 king ataenda kuisimamisha dunia

Mdau unamaneno kama video zinabuma kweli ingekuwa namba mbili trace tv huko ambako mfalme wako asiye na makazi kahonga pesa ili apostiwe kwenye page ya trace...au ubishi tuu nisije nikawa nakuelekeza mtu ambaye tayar chiz
 
MASHABIK WA KIBA MOYO UNADUNDA WANAHOFU CHEKECHA CHEKETUA VIDEO ITABUMA TU...JINAMIZ PLATNUMZ KATANGAZA KOMBORA ZITO LAJA....diamond kwa niaba ya alikiba na team yake muonee huruma na yey kwan kajichanga sana alitembea had tour mbalimbal kusaka hela za vdeo....nakuomba diamond plzz kama WE RAIS WA WASAF NAIMAN UTACKIA KILIO CHA WANANCHI WAKO
 
wasafiiiiiiiii

In shaa Allah panapo uzima mwezi wa8 mwishoni tutapata video mpya kwa mujibu wa Tale ,

Nacho jiuliza tu sijui itakuwa ipi ase maana zipo kibao hazijaachiwa kuna ft Psqure,ft a.k.a , ft usher,ft nani nani sijui aaaaa
 

Attachments

  • 1435465993412.jpg
    1435465993412.jpg
    9.3 KB · Views: 455
Hata kama mnamshabikia mwambieni u-smart unahitajika na naona akichoka kutoa hizo shooting mbovumbovu ataanza kuvua kama Shilole...maana kwenye shooting ya mwana aliyofanyia chooni alitaka kusaula hicho kitaulo sema Godfather akamuwahi akamuwasha kibao na akamwambia aache tabia za uswahilini akiwa kwa Madiba

Nimecheka mwenyewe
 
nakuomba uangalie daladala tour then angalia video yeyote dangote akiwa mtaani nadhani utaona hata kichefuchefu kulinganisha dimbwi na bahari.... chibu ni level nyingineeeee #dadeki

Nikurekebisha hapo nana kwenye trace ni ya 2, Yfm redio mojawapo kubwa sa ni ya 1, Mtv base ni ya 7 inazidi kupanda tu yaniiiiiio...

Watanzania wenzangu tuungane kwa pamoja kupinga uchawi. #SAYNOTOWICHCRAFT
 
Back
Top Bottom