Kumfanananisha kiba na diamond si sawa kabisa.
Wana sifa moja tu ya kulingana ambayo ni UTANZANIA wenye jinsia ya ME.
Kiba bado ana safari kubwa sana ya kufikia alipo Diamond trust me.
Ushauri tu ndg zangu badala ya kuendelea kumfanananisha kiba na daimond ni bora mngemshauri kiba atafute management nzuri ili aendelee kufanya kazi nzuri zitakazoenda kimataifa.
Sio kuishia kwenye KTMA ambayo haipandishi wala kumshusha mtu. mfano dully sykes alishagomeaga hizo tuzo na bado akitoa song linabamba tu.
Kiba jipange sana ili kufikia hatua aliyopo Daimond ila kama ukiendeleza hizi team ni utashia hapa hapa Bongo
Daimond huyoooooo kimataifa sana.