Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!

Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!

Kumfanananisha kiba na diamond si sawa kabisa.

Wana sifa moja tu ya kulingana ambayo ni UTANZANIA wenye jinsia ya ME.

Kiba bado ana safari kubwa sana ya kufikia alipo Diamond trust me.

Ushauri tu ndg zangu badala ya kuendelea kumfanananisha kiba na daimond ni bora mngemshauri kiba atafute management nzuri ili aendelee kufanya kazi nzuri zitakazoenda kimataifa.

Sio kuishia kwenye KTMA ambayo haipandishi wala kumshusha mtu. mfano dully sykes alishagomeaga hizo tuzo na bado akitoa song linabamba tu.

Kiba jipange sana ili kufikia hatua aliyopo Daimond ila kama ukiendeleza hizi team ni utashia hapa hapa Bongo

Daimond huyoooooo kimataifa sana.
 
Yani hyo video kwa picha hyo 2 nishaipenda b4 hata sijui nn ataimba humo. Diamond hafai ni next next level. . Huku akiwa na nyimbo top 10 trace tv lkn bdo achoki huyu mondi cjui anataka nn dah.
 
All in all tusisahau kumpigia kura president wa wasafi,nahisi maneno yote tunayomsifia hapa yatakuwa na maana kwake...holla diamond plutnam
 
Ali Kiba hawezi kufikia levels za Diamond hata nusu yake...
Diamond anaiwakilisha vyema tanzania, anatakiwa kuingia soko la ulaya na marekani....
Afrika imemtosha sasa...
 
Ha haaa upande wa pili naona wamefuliaaa...
Wapi kiba
 
Ali Kiba hawezi kufikia levels za Diamond hata nusu yake...
Diamond anaiwakilisha vyema tanzania, anatakiwa kuingia soko la ulaya na marekani....
Afrika imemtosha sasa...

Unamaanisha nigeria sio
 
Ha haaa upande wa pili naona wamefuliaaa...
Wapi kiba

Mbona anawahenyesha sana kiba??! Hivi inakuwaje mnahangaishwa na mtu mnayedai kuwa si level yenu??? Kwa nini hamjiamini.
 
Kuomba poo kivipi. Hivi unafikiri kwa akili yko mondi anamuwaza Kiba. Kiba bdo ni msanii chipukizi kama ulivyosema juzi anasubir kugombania tuzo za chanel o hahahaha.

Asingemuwaza unafkir angekimbia nchi kwenda kusaka makolabo ili abebwe kimataifa??? Hebu muulize boss wako alivyolipuka kisa tu kiba kuwa nominated mara nyingi ktma
 
Hyu jamaa bwana mtu Fulani akitaka kutoa wimbo mpya utamckia "should I drop this one ?" Mara "natamani nifumue na Hii"
Kama kanapaniki vile

Yote ni kuhamisha attention za watu tu hahhahah ile p square tayari??
 
Yuleyule anayewasumbua vichwa mpaka mnakimbia nchi kusaka makolabo

Kika anawaudha nyinyi, diamond sio level ya mwanamuziki yeyote EA, sauti sol wenyewe wameliongea hilo bila kinyongo... Afu kijitu cha mchangani kinajifanya kututumua mbavu hahahaha..

Kumuongelea kiba tutazidi sana kumuongelea coz, ndio njia pekee ya kudeal na watu ainayenu,
Chibu dangote collable kaanza kufanya 2013 my number one remix na davido, huohuo mwaka akafanya na iyanya "nakupenda" wimbo wa kwanza yeye kushirikishwa na msanii mkubwa... Enzi hizo huyo kibakuli wenu anazunguka saccos ili aweze kuishi baada ya game kuwa gumu acha kuniambia dangote alikuwa anamuwazia kibakuli 2013 hahahaha

Afu nikurekebishe my number one aliyoimba diamond pekeyake ndio iliyompa tuzo 3 kwenye channel o na sio my number one remix, mdogo mdogo imempa IRAWAMA ya marekani kuwa mtumbuizaji bora Afrika 2014, akimshinda davido wako na aye Nyambaaaaaaaaaaaaaaaafu mwaka mchungu sana huu unataka ku compare bajaji na ferrari aaaaaaaaaaah bwanaaa
 
Back
Top Bottom