Picha: Video nyingine ya Diamond njiani!


Hili gazeti lote linaonyesha jinsi mlivyopagawa hahaahaha mbona mwaka huu mtasema sana historia. Hahahahahah wapi davidooooooo. Cheaters
 
Hili gazeti lote linaonyesha jinsi mlivyopagawa hahaahaha mbona mwaka huu mtasema sana historia. Hahahahahah wapi davidooooooo. Cheaters

l☝😂😂😂😂 umeishiwa hoja hahahaha

This is exactly what i want sio unakuja kichwa kichwa with empty head and still you want tu stand beside an intellectul ✋...

#nanamediatour #nigeria #roadtomama2015 let's go usisahau kupiga kura sasa mtvmama kibakuli anakesha kumpigia davido, na Flavour amebakia kuwa mshabiki tu akiangalia wanaume wenye mauwezo yao wanavyopambana hahaha
 

Kukuignore sio kuishiwa hoja mzee tatizo unaish kwa kutumia past na sio present, wake up dude hiyo historia tulinyakua tuzo bla bla bla ukijumlisha na tatu mlizomchiti davido bas unapagawa na kuandikia wanaume wenzio magazeti. Hahahhahaha kiba atawapelekesha sana mwaka huu, pumzika sasa mana najua ushajiandaa kwa thread kama tano kumzungumzia kiba soon hahhahahahaahahhahah!! Wazee wa kolabo
 

Ww hili Gazeti umemuandikia mwanamke Mwenzio au???
 
Huyu jamaa kashapanic sasa video mpya kila wiki alafu zinabuma zote.

Asubirie j3 king ataenda kuisimamisha dunia
Tunataka kazi acha kuugulia,kazi huwa hazina kubebwa mumeshanza kutaka kumpangia namna ya kutoa, sokoni kuna kazi ngapi zenyewe huzioni????
 
wasafiiiiiiiii

In shaa Allah panapo uzima mwezi wa8 mwishoni tutapata video mpya kwa mujibu wa Tale ,

Nacho jiuliza tu sijui itakuwa ipi ase maana zipo kibao hazijaachiwa kuna ft Psqure,ft a.k.a , ft usher,ft nani nani sijui aaaaa

mafikizolo labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…