Pre GE2025 PICHA: Vijana wa UVCCM walivyopiga magoti na mabango ya Rais Samia kwenye sherehe za miaka 48 ya CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Na mashaka na future ya hii nchi
 
Na mashaka na future ya hii nchi
Umechelewa sana kuanza kuwa na mashaka na future ya hii nchi.

Wenye akili tulishaliona hili siku nyingi sana na ndo mana tukaona vyovyote vile lazima tupiganie KATIBA MPYA na CCM ipumzishwe maana wanapoipeleka hii nchi kuna siku tutalia na kusaga meno
 

Hawa vijana ndiyo kila uchwao wanatiririka na comments za uchawa humu JF na ndiyo recruits wa TISS.
 

Wanapiga magoti kwa Mungu wao. Kufuru kubwa sana hii. Wanatengeneza maboya ili kuwayatawala milele. Kizazi cha kupiga magoti, kizazi cha machawa kuwarithi machawa tulionao sasa.
 
UKiwatizama vizuri wote wanaonekana njaa kali, jobless and hopeless skinny niggas.

hapa bila shaka comrade chawa, raisi wa machawa mr mashambwa atakuepo.
 
Shida ni wanachokifanya au wanayemfanyia ? (Sababu kuna tofauti) Na issue iliyopo sasa sio kukemea upuuzi na mambo ya ajabu bali ni mambo hayo na upuuzi anayafanya nani na kwa nani ?

Uchawa hauna Gwanda wala Gamba..., Na kama wenye nchi (wananchi) tusipoangalia tutakuwa tunabadilisha chupa badala ya Mvinyo...
 
Gwanda haliwezi kugalagala kwasababu ya Demu,hayo ni mambo ya Gamba.
Haipaswi kugalagala kwa yoyote yule, ila ndio hivyo huku wanaweza kuitwa machawa na wapuuzi lakini kule ukasikia jinsi Chama kilivyowakaa Mioyoni Wananchi; all in all two sides of the same coin na kupoteza rasilimali muda kwenye pettiness....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…