PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Huyu kijana wetu ana miaka 80 tunajivunia kuwa nae kwenye chama chetu....CCM tuna hazina kubwa ya vijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema chawa alikuwa ni Yericko kwasababu alikuwa anafaidika na Host wake kuwa Mwenyekiti.Haipaswi kugalagala kwa yoyote yule, ila ndio hivyo huku wanaweza kuitwa machawa na wapuuzi lakini kule ukasikia jinsi Chama kilivyowakaa Mioyoni Wananchi; all in all two sides of the same coin na kupoteza rasilimali muda kwenye pettiness....
Huruma sana Vijana wanatia Huruma sanaHawa Vijana wanatia huruma.
Huruma sana hivyo vijogoo vinaua balaa huku nilipo watu wanakufa km kuku wa kideri mixer mdondoWameshanywesha Vijogoo+Bangi Miksa Busa,,Wamepagawa
Hivi hiyo rangi nyeusi inayowakilisha Waafrika weusi siku hizi imebaki kwenye Suruwali na Hijabu pekee hata kwenye Bendera yao wameitoa hawa CCM ni wanafiki sana.Huyu kijana wetu ana miaka 80 tunajivunia kuwa nae kwenye chama chetu....CCM tuna hazina kubwa ya vijanaView attachment 3226172
Future inasikitisha aisee, by anymeans necessary bila katiba mpya uelekeo ni shimoniUmechelewa sana kuanza kuwa na mashaka na future ya hii nchi.
Wenye akili tulishaliona hili siku nyingi sana na ndo mana tukaona vyovyote vile lazima tupiganie KATIBA MPYA na CCM ipumzishwe maana wanapoipeleka hii nchi kuna siku tutalia na kusaga meno
Ndiyo maana wamemchangua huyu Mzee wasira ili aendelee kulala kwenye mikutano yaoHivi hiyo rangi nyeusi inayowakilisha Waafrika weusi siku hizi imebaki kwenye Suruwali na Hijabu pekee hata kwenye Bendera yao wameitoa hawa CCM ni wanafiki sana.
CHADEMA tunaienzi hiyo rangi kwa vitendo na kwenye Bendera iko.
Duuh aisee NumbisaUNATEGEMEA KUNA WATU WENYE AKILI HAPA ZAIDI YA VILAZA? ANASTAHILI KUPIGIWA MAGOTI NI YESU KRISTO TU NA SI MWANADAMU. ANY WEYI TUACHE KIZIMKAZI ACHUKUE SIFA ZA BWANA ILI BWANA AMFYEKELEE MBALI
Kwa kifupi hawa ni vijana wasiojitambua.Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.
Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?
Hapa Lucas mwashambwa hakosekaniki ☺️😊☺️View attachment 3226162
Hawa vijana ndiyo kila uchwao wanatiririka na comments za uchawa humu JF na ndiyo recruits wa TISS.
Wakuu
Hawa ni Vijana wakiwa wamepiga magoti na mabango kwenye Maandamano ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, zinapofanyika sherehe za miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi.
Soma, Pia: Kuelekea Uchaguzi 2025: Vijana tunafanya nini kuongeza ushiriki wenye tija na kuwapata viongozi bora wasioendekeza uchawa?