Pre GE2025 Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwangu mimi kumuona kijana anaipamba na kuizungumzia kila wakati CCM eti inafanya vyema, huwa naona ni hasara kwa mwelekeo wa taifa na kama kuzaa ni mchezo wa karata basi wazazi walilamba mavi.
huwezi kuona kijana anaelipa kodi yupo kwa huo upuuzi
 
Niliwaona hao jana..niliwapitia karibu walikuwa wananuka JASHO KALI SANA na wengi wamevaa makandambili.
 
Matembezi ya kudai ajira yatafanyiia lini?
 
Wavae neutral colors
 
Kuna usemi huu kwa jirani zetu…’ Unajua status yako kiafya? Unaijua????ni + au - 🀣🀣🀣
Tuwaache
Na hivi turampu amejitoa kwenye who mmmh
Yajayo yanafurahisha sana!
 
UVCCM si ni jumuia ya chama? Mkutano mkuu wa chama si umempitisha mama kuwa mgombea? Sasa UVCCM wanaandamana kumuunga mkono nani tena?
 
Hata mimi ukinilipa perdiem naunga mkono πŸ˜†... Ingekuwa ni hiari hao watu hata 30 kufika ingekuwa mtihani
 
Afrika inafikirisha sana...tumelogwa na alotuloga keshafariki...vijana?
 
Wapumbavu walioko on Payroll


..Mwalimu Nyerere alikuwa yeye mwenyewe akiandamana au kufanya matembezi kuunga mkono au kuhimiza jambo fulani. Siku hizi tunaonyeshwa msafara wa ma-V8 na vimulimuli vya mwenyekiti na genge lake.
 
Hapo asilimia 99,ni, vilaza, wanachuo,jobless, hakuna kijana mwenye ajira yake pale Vodacom, tigo,uhwmiaji, tra, nssf,madini, migodini, anaweza kuomba ruksa kazini akafsnya huu upuuzi, watoto wa mabwana zenu, mawaziri, ni, wapo UN, wanapiga pesa, nyie mnatembeza mbariga eti samia mama!?mama yenu kawazaa? Kama ni mama yenu mbona hamna maisha ksma Abdul! These kind of youths are stain inchumanity
 
CCM ina hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…