Pre GE2025 Picha: Vijana zaidi ya 1000 wafanya matembezi Dodoma kumuunga mkono Samia kugombea Urais 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi Kuna majobless humo kweli? Kama wapo basi tuna safari ndefu Sana kama nchi.
 
Wamaepa katiba na utaratibu sasa wanajaribu kuhalalisha haramu kwa matembezi ya vijana waliyolishwa nyama choma.🤣😂
 
Ccm kazi wanayo wanatembeza njugu kwa wanachuo kweli, kazi wanayo
 
Vijana wa UVCCM hufanya hivyo kwa posho kamili while vijana wa CHADEMA wanaweza kufanya hivyo bure kabisa.
Kwahiyo hapo kinachofanya maandamano ni pesa sio watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…