Pre GE2025 Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya Leaders, Kuliombea Taifa Amani na Rais Samia Suluhu Hassan

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maombi! Badala ya kuweka mifumo bora ya maisha na ustawi kwa wenye nchi (watanzania) na kuweka mifumo ya haki kwa watu wote et wanakazana kwenye Maombi!

Hamnaga hiyo,theoretically inagoma.

Kwanza jambo baya kabisa ni watu kupotea,mara wakutwe wamekufa!
 
Naunga mkono hoja....

#Tuliombee taifa!
#Tumuombee Rais wetu mh.Samia Suluhu Hassan ,amen!
 
Naunga mkono hoja....

#Tuliombee taifa!
#Tumuombee Rais wetu mh.Samia Suluhu Hassan ,amen!
 
Upuuzi puuzi tu, kwa moto aliowashiwa Zelensky mbele ya waandishi wa habari hadharani ndani ya White house, sijui hali huwa inakuwaje Trump akikutana na viongozi wapuuzi puuzi kutoka Shit hole countries inawezekana hata akawatandika vibao.
Badala ya kuweka pesa kwenye mambo ya msingi wao wanalipa matapeli wawapigie kampeni. Shenzi taipu
 
Vipi waliombea Haki na Uchaguzi uwe huru ? Au wamemuombea mgombea mmoja tu?
 
Akina Mwamposa ndio viongozi wa dini?!
 
Hahahaa, na uzuri ni kuwa hata uombeje haimaanishi kumshawishi Mungu ayafanye tuyatakayo sisi
 
Hayo "maombi" ni porojo. Hao Japan, Singapore, china, Australia, Norway Huwa wanamuomba nani. Mbona wako mbali sana kwenye karibia Kila eneo!
 
Ulisikia wapi service ya engine ya gari inafanywa kwa maombi? Badala ya kufungua ……… ndicho tunacho kifanya sisi nchi hii ina hitaji mabadiliko ya kimfumo na cyo maombi na hichi kinacho endelea hapani kampeni na hawa wanaojiita watumishi wamesha ingia kwny mfumo
 
Dah!!!nimecheka kama mazuri vile
 
Hao wote wapigaji tu hakuna kiongozi wa kidini hapo. Huwezi kuombea amani bila kuombea haki huo ni uchawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…