Pre GE2025 Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya Leaders, Kuliombea Taifa Amani na Rais Samia Suluhu Hassan

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hawa ndo wakuombewa..
Maana wanawafukarisha watanzania wakijaza mitumbo yao
 
Ntashangaa km kuna mtu bado hajui nabii wa uongo anafananaje! Guys open your third eye!
 
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

Ni upuuzi tupu.

Ukiwa mkweli na wala siyo Mtu mwenye chembe ya unafiki moyoni mwake, Basi utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba AMANI ya kweli ni TUNDA la HAKI. Amani ya kweli Kamwe haiwezi kutokana na Mikesha ya Maombi ya Makanisani au Misikitini, bali itatokana na kuwepo kwa Mazingira ya Haki.

Kuwepo kwa Mazingira ya DHULUMA, vitendo viovu vya Utekaji Watu, Rushwa, Upendeleo usio wa Haki, Ufisadi, Chuki, n.k kamwe haviwezi kuleta hali ya Amani, bali vinaweza kuleta Utulivu.
Tutende Haki kwa kila Mtu miongoni mwetu katika Jamii zetu ili tuweze kujihakikishia uwepo wa Amani miongoni mwetu.
 
Maombi! Badala ya kuweka mifumo bora ya maisha na ustawi kwa wenye nchi (watanzania) na kuweka mifumo ya haki kwa watu wote et wanakazana kwenye Maombi!

Hamnaga hiyo,theoretically inagoma.

Kwanza jambo baya kabisa ni watu kupotea,mara wakutwe wamekufa!
Mawazo chanya
 
Tutafute mganga atuondoe kwenye huu ulozi uliofanywa juu ya Taifa hili na watu wake.
 
Bila kujua Tanzania kumetengezwa cult ya Samia.
 
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

Ni jambo la kizalendo sana kuliombea Taifa na kumuombea kheri Dr Samia Suluhu Hassan rais na kipenzi cha waTanzania wote, Mungu amjalie afya njema na maisha marefu zaidi katika kuliongoza taifa kwa ufanisi na maendeleo makubwa.

Well done Apostles, Prophets, Bishops, Pastors and all evangelists for the prayers 🐒
 
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

Mbona Magu walikuwa hawamuombei huyu imekuwajw
 
Trump alisema Umasikini wetu wa Afrika hautaondoka Kwa kuombewa na Viongozi wa Dini, bali Kwa kufanya kazi na kupata Kiongozi wa Nchi mwenye maono

Otherwise, hadi toothpick tutaagiza China 🙌
 
Huu ujuha wa hali ya juu mnaombea mafisadi ili wazidi kuneemeka waendelee kuwanyonya wanyonge wasiojua kesho yao iko vp?
 
Trump alisema Umasikini wetu wa Afrika hautaondoka Kwa kuombewa na Viongozi wa Dini, bali Kwa kufanya kazi na kupata Kiongozi wa Nchi mwenye maono

Otherwise, hadi toothpick tutaagiza China 🙌
Naam hata qoutation tuna mqoute Trump.., as if kina Nyerere na kina Thomas Sankara hawakusema the same....

By the way kazi kwa sasa does not necessarily pay bali kuacha kuwa marginalized na kina hao Trump na viongozi wasio wazalendo na wapenda 10%
 
Hao akina Nyerere quotes zao zinaweza kuwa ngumu kuzipata, ila Trump ameongea juzi tu hadi ukitaka ushahidi wa Video unapatikana 🤗

Viongozi wazalendo hii Nchi hawapo, tunao Viongozi corrupt ambao wameamua kuuza na kuchukua chao mapema

Ndiyo Nchi yetu ilipofikia 🙌
 
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

Hawa wanaliombea taifa au wanamchokoza Mungu ashushe laana, maana uchawa umeingia hadi kwenye madhabahu, na Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu. Kuna kitu wanakitafuta hawa watakipata tu hivi punde. Mungu Hadhihakiwi
 
Naomba kujua Missionary Churches kama wapo, kama hawapo Hilo ni kusanyiko la wahuni kutaka wasichunguzwe utapeli wao
 
Back
Top Bottom