Pre GE2025 Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya Leaders, Kuliombea Taifa Amani na Rais Samia Suluhu Hassan

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Maombi! Badala ya kuweka mifumo bora ya maisha na ustawi kwa wenye nchi (watanzania) na kuweka mifumo ya haki kwa watu wote et wanakazana kwenye Maombi!

Hamnaga hiyo,theoretically inagoma.

Kwanza jambo baya kabisa ni watu kupotea,mara wakutwe wamekufa!
“Hamnaga hiyo Theoretically inagoma “😂
Nimecheka sana hii sentensi imenifurahisha sana Hahahahaha 😅
Kwakweli duh 🙄 ! Uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi !
 
Wakulima wanalia mvua hakuna hawa wazee wanaozeeka vibaya wanaelekeza kuombea mtu mmoja mwenye kila anachohitaji.Ndio maana nasisitiza kila mtu amwamini Mungu na asimtegemee mwenzake katika imani
 
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

Hao ni wale viingozi wanaopokea bahasha kutoka kwa mkuu.
Umewahi kuwasikia wakihimiza haki? Wametekwa na wimbo wa serikali " amani dumisha amani,
Yohana alimkemea waziwazi mtawala pale alipofanya yaiyostahili.
Hao hawawezi kuiambia serikali kuhusu haki kwa watu wake.
Muhimu kujua kuna amani ya lazima na kuna amani ya haki.
 
Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan.

Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025

Maombi ya wenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
 
Back
Top Bottom