Pre GE2025 Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya Leaders, Kuliombea Taifa Amani na Rais Samia Suluhu Hassan

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
“Hamnaga hiyo Theoretically inagoma “😂
Nimecheka sana hii sentensi imenifurahisha sana Hahahahaha 😅
Kwakweli duh 🙄 ! Uchaguzi huu tutaona na kusikia mengi !
 
Wakulima wanalia mvua hakuna hawa wazee wanaozeeka vibaya wanaelekeza kuombea mtu mmoja mwenye kila anachohitaji.Ndio maana nasisitiza kila mtu amwamini Mungu na asimtegemee mwenzake katika imani
 
Hao ni wale viingozi wanaopokea bahasha kutoka kwa mkuu.
Umewahi kuwasikia wakihimiza haki? Wametekwa na wimbo wa serikali " amani dumisha amani,
Yohana alimkemea waziwazi mtawala pale alipofanya yaiyostahili.
Hao hawawezi kuiambia serikali kuhusu haki kwa watu wake.
Muhimu kujua kuna amani ya lazima na kuna amani ya haki.
 
Maombi ya wenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
 
Maombi ya wenye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…