Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
Dadangu fafanua kdg
..... Mtuhumiwa wa Zama ndio nani?
Sana ila hayo mapapai yalivyomwagika...!!!
Zamaradi ni mkorofi, ana maneno ya choko choko sana, ray c kamalizia anaonekana yeye ndo mchokozi au anaonekana bado anatumia madawa....ahahahah y unamuita zama ronadinho? Meno au?
Si ndo maana ray c akamponda kuwa ataishia kuzalishwa tu ndoa ataisikia kwenye bomba, ila lile dongo la ray c kiboko khaaa
Binamu lakini nimesikia kuwa Rehema ana kitumbo.
Na muhusika ni mtuhumiwa wa Zama, maana kule insta ndo umbea ulikolala
Ana chokochoko sana yule.....mwenzie kajibu ataonekana mbaya.Hovyooooo
Mwenzangu insta nako kila siku hakuishi vituko, yani watu wanachambana kwenye uzi wa ray c, ray c nae alivyomtambo anawajibu vizur, yani ni shidaaa na hii mvua sasa nimejifungia ndani tu na galaxy yangu kama ya lucy komba naperuzi umbea yani ni shigidaaaa
Rayc sio mzima
Alikuwa na msutano na dougiemasta kipindi fulani kisa kadhulumu hela ya mteja
Kwahiyo wao wana rambo
Si kweli lakini jamani?teh teh teh
I wish if i can seee yours! But kazi ya Mungu hiyo.
Ray c amuache mwenzie ajifungua kwa amani.
Zamaradi ni mkorofi, ana maneno ya choko choko sana, ray c kamalizia anaonekana yeye ndo mchokozi au anaonekana bado anatumia madawa....ahahahah y unamuita zama ronadinho? Meno au?