Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

Zamaradi ni mkorofi, ana maneno ya choko choko sana, ray c kamalizia anaonekana yeye ndo mchokozi au anaonekana bado anatumia madawa....ahahahah y unamuita zama ronadinho? Meno au?

Ana chokochoko sana yule.....mwenzie kajibu ataonekana mbaya.Hovyooooo
 
Binamu lakini nimesikia kuwa Rehema ana kitumbo.
Na muhusika ni mtuhumiwa wa Zama, maana kule insta ndo umbea ulikolala

Mwenzangu insta nako kila siku hakuishi vituko, yani watu wanachambana kwenye uzi wa ray c, ray c nae alivyomtambo anawajibu vizur, yani ni shidaaa na hii mvua sasa nimejifungia ndani tu na galaxy yangu kama ya lucy komba naperuzi umbea yani ni shigidaaaa
 
Yaani....atakapojaliwa mtoto itabidi kila anaponyonyesha Dada wa kazi akae karibu standby....coz ikitokea bahati mbaya akasinzia likamlalia mtoto usoni mtoto ni kwishnei.

AHahahahahahah, khaaa watu mna maneno khaaa
 
Ana chokochoko sana yule.....mwenzie kajibu ataonekana mbaya.Hovyooooo

Ila ray c namkubali yani anavyochamba watu kule insta kweli yule dawa itakuwa bado inafanya kazi maana khaaa lile dongo alilompa zama kama una roho nyepesi lazima ulie ahahahahaha
 
Mwenzangu insta nako kila siku hakuishi vituko, yani watu wanachambana kwenye uzi wa ray c, ray c nae alivyomtambo anawajibu vizur, yani ni shidaaa na hii mvua sasa nimejifungia ndani tu na galaxy yangu kama ya lucy komba naperuzi umbea yani ni shigidaaaa

Binamu kwanza kabla ya kwenda mbali, Msomali wa kigogo kule insta ndio nani, maana nahisi ana bonge la file la picha edited za Mrs Ommy Dimpoz....Wema Sepetunga
 
Ndo namsikia binamu, ndo nani tena huyo??
 
Zamaradi ni mkorofi, ana maneno ya choko choko sana, ray c kamalizia anaonekana yeye ndo mchokozi au anaonekana bado anatumia madawa....ahahahah y unamuita zama ronadinho? Meno au?

Shangaa...!
 
Back
Top Bottom