miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasiwasi wangu ni kuwa baada ya miaka 20 hadi 25 tutakuwa na Taifa lenye vizee vimbeya kweli kweli. No hard feelings, plz don't take it personal.
Ni shidaa apo Cynthia wangu ray c presha c itampanda kabisa
Ila ray c ana michambo ya ajabu eti bitches be like im pregnant again, hahahahah kaniacha hoi sana, khaaa yule ni kiboko
hao UKIMWI hawakosi...wanapenda sana Soni Mombo...( kama hujaelewa hapo uliza Lushoto)
Si kaigiza mimba ya naniiHem ngoja kwanza!
hii piccha ray c angepiga bra angetoka msupuuuu!!iiiiila saaaaasa duh"!
Kwani mtoto anatafutwa kama nguo?Duu hatari sana..kwanini na yeye asitafute mtoto?Kujibishana insta kutamsaidia kubeba mimba?
Hivi hii ilikuwa kweli?
Ha ha ha ha nasikia kile kichambo kimempeleka labor na amejifungua.Sijui kweli lakini insta hyo ndo habari
haah!!! isijekuwa kajifungua kabla ya muda jamani lol