Picha: Vita ya Ray C na Zamaradi yapamba moto

Soma comment ya mwisho
 
Attachments

  • 1427027607285.jpg
    44.2 KB · Views: 920
Wasiwasi wangu ni kuwa baada ya miaka 20 hadi 25 tutakuwa na Taifa lenye vizee vimbeya kweli kweli. No hard feelings, plz don't take it personal.

Including the modes....
 
Wasiwasi wangu ni kuwa baada ya miaka 20 hadi 25 tutakuwa na Taifa lenye vizee vimbeya kweli kweli. No hard feelings, plz don't take it personal.

Na wewe umefuata nini kama sio mbea??
 
Nampenda Ray C hakopeshi na hakai na kinyongo
 
Ha ha ha ha nasikia kile kichambo kimempeleka labor na amejifungua.Sijui kweli lakini insta hyo ndo habari

Ila ray c ana michambo ya ajabu eti bitches be like im pregnant again, hahahahah kaniacha hoi sana, khaaa yule ni kiboko
 
Ila ray c ana michambo ya ajabu eti bitches be like im pregnant again, hahahahah kaniacha hoi sana, khaaa yule ni kiboko

Ha ha ha hyo inaitwa shoka moja mbuyu chini.Meno yatamtoka Bi kiroboto mpaka basi
 
Mmmhhh yaani binti Chalamila atalala gym aisee.Na ule mwili ndo anaona unazidi kumpotezea

AHahahah mimi hyo bitches be like ndo imeniua kwa kweli, mmh nyie ray c hapana kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…