CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Za kubebe kura za wizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machafuko tu ama mapinduzi ya kijeshi ndio ndio yataleta mabadiliko ya kweli.Hiki chama sijui nini kifanyike kiondoke madarakani
Maandalizi yote hayo Bado unakuta wanaiba uchaguzi. Maamae zao.
KabisaNchi ya chama kimoja
Yaani ulilosema linafikirisha sana, kwa nini wanaingia gharama zote hizo na wanajua watajitangazia ushindi mchana kweupe. Hizo pesa wangepeleka kwenye shughuli zingine tu.Maandalizi yote hayo Bado unakuta wanaiba uchaguzi. Maamae zao.
Na iwe hivyo.Zikawaue tuu............
Hongo hiyo... Machawa wajiandae watunge sifia mpyampya!!
Mnakwenda kuongeza vilema na vifo mitaani then unapongeza. Badala wangenunua vitabu na madawatiSafi kabisa,ccm chama kinachojaria raia wake
This time piga kura, Linda kura. Wezi hatuwataki kwenye ofisi ya ummaYaani ulilosema linafikirisha sana, kwa nini wanaingia gharama zote hizo na wanajua watajitangazia ushindi mchana kweupe. Hizo pesa wangepeleka kwenye shughuli zingine tu.
Unataka apitishwe mara ngapi! Hauoni hivi sasa viongozi wote wapo kwenye kumpongeza muda wote.Kwa hiyo ndo ashapitishwa eee?!
Aaha! Huenda kuna wafanyabiashara wamelazimishwa kuinunulia CCM hizi pikipiki ndiyo sababu baadhi wanataka kusepa inji hii, wameona wametiwa hasara huku TRA ikipandisha kodi.
Safi kabisa,ccm chama kinachojaria raia wake
Bora mpungue na hizo laana!
Walishindwa wakiwa na v8 itakufa laana hizo!!? Unaijua v8 weweUnauliza majibu?