Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Walishindwa wakiwa na land cruiser hard top itakuwa hizo takataka za mchinaMaandalizi yote hayo Bado unakuta wanaiba uchaguzi. Maamae zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishindwa wakiwa na land cruiser hard top itakuwa hizo takataka za mchinaMaandalizi yote hayo Bado unakuta wanaiba uchaguzi. Maamae zao.
Hizi juhudi zinahatarisha usalama wa mgombea kisiasa!!
Mbowe anagombea ubunge kimyakimya.
kibiti mkoa wa pwani......duu!! ni mkoa gani hapo!!....
Wale washakuwa kama mbwa mwitu, kukujeruhi ni muda wowote. Nitakuwa mwangalizi tu kutokea pub ya jirani na kituo cha kupigia kura.This time piga kura, Linda kura. Wezi hatuwataki kwenye ofisi ya umma
Nitalinda kuitetea nchi yangu. Uzalendo kwanza. Kataa wiziWale washakuwa kama mbwa mwitu, kukujeruhi ni muda wowote. Nitakuwa mwangalizi tu kutokea pub ya jirani na kituo cha kupigia kura.