PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

Wabunge na wafanyakazi wengine wa Bunge wakishiriki kwenye shindano la kula kwenye kilele cha Bunge Bonanza 2025.View attachment 3220984View attachment 3220985

Pia, Soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika bonanza hili pia imechezwa mechi ya Wabunge ambao ni mashabiki wa Simba na Yanga ambapo mechi imemalizika kwa Yanga kupoteza kwa bao 4-0
View attachment 3220986
Tufwile!
Kulikuwa na ulazima wa kufanya mashindano ya kula?
 
Wabunge hawajamsikia.Trump.lalianzisha huko la kubana matumizi wao.wangejiandaa maana hakuna namna inabidina sisi tupunguze idadi ya wabunge wanaokula hela ya.serikali.
Yafaa kila mkoa uwe na wabunge wanne tu, KE-2 na ME-2, jumla 124 nchi Nzima.
 
Back
Top Bottom