PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

PICHA: Wabunge wakishiriki shindano la kula kwenye Bunge Bonanza 2025

Hawamu hii ya 6 itakumbukwa kuwa na viongozi wajinga kuwahi kutokea Tz
 
Watu wa hovyo sana hawa usikute walipomaliza kushindana ulafi wakaanza na mashindano ya kujamba
 
Wakimaliza hapo wanarudi kwenye mashindano ya kila siku ya uchawa na kula Kodi za wananchi🐼
 
Mzee Hashim akileta sera yake ya ubwabwa hawataki kumuunga mkono.kumbe ubwabwa wanaupenda
 
Tanzania neno wabunge kwa sasa ni sawa na kusema vilaza!
Wabunge = Vilaza
 
Mama atakuja kuwajibu hapa... Wabunge wana haki ya kurefresh mind sio bunge na hoja plus kupuga meza tu 😅
 
Nchi hiii!!!!!!!!!
Bungenu kuna kundi la wapumbavu wanaoitwa wawakilishi wa wananchi.
Sasa hayo mambo kweli relevance yake ni nini?
Huwez kuta ushenzi kama huo kwenye Congress au Dumas
Na ndiyo wamejazwaaa huko na wanataka kumuongeza manara huko bunge lizidi kuwa la lopolopooo

Ova
 
Na hii ni habari ya kujadili kweli?
 
Imagine unasoma mada kuna mama huko hawezi wapa watoto wake mlo.

Halafu huku matajiri (kupitia kodi) za maskini na watu wanao wawakilisha, wanajirekodi kabisa wanavyochezea chakula.

Hawako sensitive kabisa na shida za wananchi wao.

Ni watu wa hovyo hawa majamaa.
Eeeh, hii ni AIBU ya dunia aiseeh , wabunge wa kujadili taabu za wapiga kura !
 
Back
Top Bottom