mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Hyo inaitwa saa100 food rally 😄Imagine unasoma mada kuna mama huko hawezi wapa watoto wake mlo.
Halafu huku matajiri (kupitia kodi) za maskini na watu wanao wawakilisha, wanajirekodi kabisa wanavyochezea chakula.
Hawako sensitive kabisa na shida za wananchi wao.
Ni watu wa hovyo hawa majamaa.
Nasikia leaders club pia leo kuna kadansee ya saa100
Kila jambo saa100 saa100 tu
Ova