Picha: Wachezaji sita wa Yanga watimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi Kariakoo

Sasa mbona ulikuwa unasema wamefukuzwa? Au na wewe ni pakashume

Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni aibu wewe uliyesema kwamba hakuna wachezaji hapo?shabiki unashindwa kutambua hata ma chezaji yako yasiyojua mpira? hiyo makame kazuga tu, WAMEFUKUZWA wamekimbilia mkwajuni nako wanadaiwa luku tangu jana,shime shime jamani kawaokoeni,WACHEZAJI SITA ROOMS MBILI? KITANDA KIMOJA?KUDADADEKI ,LILE GODORO LA GSM KUMBE LILIMSAIDIA SANA BALAMA KABLA YA PALE SIJUI ALIKUWA ANALALIA MKEKA?
 
nimabie we pka la jalalani,angalia hii habari halafu ilikuwaje wachezaji sita wanakaa nyumba moja,kitanda kimoja?wengine wanalala chini kwenye magodoro?vyumba viwili na sebule,yaani wachezaji watatu chumba kimoja?kudadadeki walahi,dah vyura hovyoooo kabisa
View attachment 1370456
Mbona ni maisha ya kawaida sana hayo. Unachoshangaa nini?
 
Mtani wachezaji wenu wanakaa geto na kulala mzungu wa nne kama magunia ya viazi mbatata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna shida Mtani kikubwa wanapata usingizi. Kitanzania Tanzania maisha hayo si ya kushangaa hata kidogo Mtani.

Nimewaza kwani walipaswa waishi vipi eti Mtani? 🤔🤔
 
Du!kweli wanaume wanazidi kupungua mjini!!yaani mwanaume kabisa unaleta habari eti wanaume wenzio wanalala chumba kimoja wako sita,na kitanda kiko kimoja!!sasa ulitaka viwe vingapi ili wakuridhishe mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tungemuuliza mtoa mada kama ashawahi kuishi Dar Maana ni kawaida sana tena hakuna raha kuishi watu wanaofahamiana nyumba moja.Halafu mtoa mada alivyomjinga eti hiyo kirikuu ndi wachezaji na vitu vyao walikuwa wanakaa chumba kimoja.
Halafu suala la makazi Yanga inahusika vipi?Yanga inakulipa pesa mahali pa kuishi unaamua wewe uishi wapi kama ni kinondoni,ubungo,Chanika,Keko,Wailes ,Kijitonyama n.k wao ndo wanaamua waishi na nani na kwa nini.Ungesema hiyo ndo kambi Ya Yanga waliyoweka huko Morogoro labda.

Nyie wapuuzi,wachezaji 6 rooms mbili halafu mnataka wacheze kama simba?hopeless kabisa hata niyonzima alivyokuwa simba walimpeleka mikocheni kutoka magomeni alipopangiwaga na yanga na yeye alishukuru utulivu wa maeneo ya mikocheni,kazi kujisifu eti team imenunua Gps vests za mamilioni huku hata mshahara hamlipi,yaani watu hawana utulivu wa akili mnataka wacheze vizuri,wachezaji wa yanga wanalalia godoro nyinyi mnaona sawa tu ???shame on you mentality ya kimaskini sana hiyo,kama manakubaliana na hilo msijiite team kubwa tena.
 
Nyie mnaongea sana mbumbumbu kwa vile mpo na ponjoro wenu,mmesahau zile chapati alizokuwa anawadai Mwina kaduguda mpaka anasepa na Vifaa vya mazoezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji alale mzungu wa nne ? Hata wa ihefu fc hawafanyi huu ujinga.

Wanatakiwa kupewa nyumba zao wakae na familia zao vizuri.

Ndiyo maana mnafungwa na vitimu vya mchangani kumbe wachezaji wenu hawalali vizuri.
Hamna shida Mtani kikubwa wanapata usingizi. Kitanzania Tanzania maisha hayo si ya kushangaa hata kidogo Mtani.

Nimewaza kwani walipaswa waishi vipi eti Mtani? [emoji848][emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du!kweli wanaume wanazidi kupungua mjini!!yaani mwanaume kabisa unaleta habari eti wanaume wenzio wanalala chumba kimoja wako sita,na kitanda kiko kimoja!!sasa ulitaka viwe vingapi ili wakuridhishe mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani Kweli ndo mana mnaitwa Vyura. Yaani wachezaji wa timu kubwa ka Yanga wakapange vyumba viwili watu sita kweli? Afu bado unaona sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji alale mzungu wa nne ? Hata wa ihefu fc hawafanyi huu ujinga.

Wanatakiwa kupewa nyumba zao wakae na familia zao vizuri.

Ndiyo maana mnafungwa na vitimu vya mchangani kumbe wachezaji wenu hawalali vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika wanalala mzungu wa nne mtani? Hizi ni assumption zetu tu Mtani ambazo ukweli wa mambo wanaujua wenyewe.

Hayo ya kufungwa ni ya kwako Mtani. 🤣
 
Back
Top Bottom